Kuchamba kwa kutumia maji kunachangia sana kuenea kwa magonjwa

Hii nzuri. Karatasi kisha maji vizuri.
 
Et jamani watu wanachambia maji tangu nchi haijapata uhuru
Afu huyo anataka kusemaje [emoji23][emoji23]
Kwanza bahati nzuri zamani habari ya kulakula makachumbari na street foods yalikuwa si sana, ni kama hakukuwepo. Hili lilisaidia sana kutoeneza magonjwa. Leo kila mtaa una kibanda cha chipsi, mihogo nk nk. Kote watu wanabugia kachumbari mbichi na mavyakula mengine yaliyokuwa handled kwa mikono michafu.
 
alafu hyo toilet pepa unaiweka wapi?
Au kwenye mifuko yako.
Unaogopa kushika mavi yako wakati tumboni kwako ndo yamejaa?
Mimi sijawahi kuumwa UTI Wala vidonda vya TUMBO Wala sikumbuki lini niliumwa typhoid
Kikubwa angalia UNAKULA NINI?
Toilet paper ndiyo njia salama. M* vi ni m*vi tu hata kama ni ya kwako, kushika uchafu huo moja kwa moja ni shida!!
 
Tupia na kapicha basi!
 
Ndo tuseme kuchamba kumekuja sasa mbona hayakuwepo magonjwa haya miaka ya nyuma
 
We nae ni great thinker
Aisee
 
Hapana wanakuwa wananuka mikojo na kinyesi,sababu ukikojoa tu inabidi uoshe tupu yako ya mbele na hata unapojamba,inabidi uoshe tupu yako ya nyuma
You're not serious man,not serious at all.

How many times can a man clean his pen*** after peeing when he is not at home.

By the way cleaning pen**** with water is not an African tradition at all.
 
Ndo tuseme kuchamba kumekuja sasa mbona hayakuwepo magonjwa haya miaka ya nyuma
Zamani utamaduni wa kula vyakula vya mtaani ulikuwa mdogo. Leo mkata kachumbari mmoja anaweza hata ambukizw watu mia kwa siku.
 
Kuna yale mavyoo ya kukaa siyapendi mtu na afya zako unaenda kukaa kwenye sinki kama mtoto anaenyea pot ni uzembe tu.Ukisasa unachangia kutulemaza kiasi fulani.
 
Hebu chukulia mfano kila unapoenda njooni unajifuta na tishu,unategemea uchafu wote utatoka?ndiyo maana gari au basi abiri wakishatoka kuchimba dawa hewa huwa inabadirika inakuwa nzito hii sababu wengi hawanawi wanabaki na mikojo pamoja na vinyesi
Hasa wenye makalio makubwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…