Kuchange jina la kozi ili uombe kazi Ajita portal

Ahmed Saidi

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
1,588
Reaction score
3,487
Wakuu Salam,

Kuna kazi hapa nataka kuomba na Nina vigezo lakini Kama manavyojua huu mfumo wa utumishi ulivyo na shida, umenikatalia.

Sasa nataka ni-edit jina la kozi niliyosoma ili tu niweze kuomba kazi hii. Mfano katika nafasi ya kazi ya warden, Moja ya qualification waliyoitaka ni Bachelor of Education Lakini Mimi wa Bachelor of education in Psychology ambaye ndio nafit zaidi kwa kazi iyo mfumo unanikatalia, Sasa je nikiedit iyo kozi yangu na kuweka bachelor of education ili tu niombe nitakuwa nimetenda kosa?
 
Hili ni tatizo mfano bachelor of education in science inakatiliwa kwenye loan officer grade iii wakati kigezo mojawapo ni education sijui shida nini?
 
Yaani hawa utumishi Kama hawatusikii vile
 
Wakuu Salam,

Kuna kazi hapa nataka kuomba na Nina vigezo lakin Kama manavyojua huu mfumo wa utumishi ulivyo na shida, umenikatalia.

Sasa nataka ni-edit jina la kozi niliyosoma ili tu niweze kuomba kazi hii. Mfano katika nafasi ya kazi ya warden, Moja ya qualification waliyoitaka ni Bachelor of Education Lakini Mimi wa Bachelor of education in Psychology ambaye ndio nafit zaidi kwa kazi iyo mfumo unanikatalia, Sasa je nikiedit iyo kozi yangu na kuweka bachelor of education ili tu niombe nitakuwa nimetenda kosa?
Piga simu watarekebisha
 
Mipia nimepata changamoto kwenye kazi ya loan officer kwenye system naiona Bachelor of science with education nanikiitumia hii kuomba hiyo kazi inakubali japokua Mimi nimesoma Bachelor of science with education in chemistry and biology Sasa Nini muafaka wa Hilo au ntakua nimeudanganya mfumo?
 
Ulichokiandika aiseee unakijua mwenyewe
 
Mipia nimepata changamoto kwenye kazi ya loan officer kwenye system naiona Bachelor of science with education nanikiitumia hii kuomba hiyo kazi inakubali japokua Mimi nimesoma Bachelor of science with education in chemistry and biology Sasa Nini muafaka wa Hilo au ntakua nimeudanganya mfumo?
Kama inakubali malizia kuapply sasa.

Watu wengi wanapata neno FAILED jambo ambalo linawafanya wasiweze kuapply.
 
Mipia nimepata changamoto kwenye kazi ya loan officer kwenye system naiona Bachelor of science with education nanikiitumia hii kuomba hiyo kazi inakubali japokua Mimi nimesoma Bachelor of science with education in chemistry and biology Sasa Nini muafaka wa Hilo au ntakua nimeudanganya mfumo?
Washanirekebishia ingawa hata sikuwapigia
 
Wakuu Salam,

Kuna kazi hapa nataka kuomba na Nina vigezo lakini Kama manavyojua huu mfumo wa utumishi ulivyo na shida, umenikatalia.

Sasa nataka ni-edit jina la kozi niliyosoma ili tu niweze kuomba kazi hii. Mfano katika nafasi ya kazi ya warden, Moja ya qualification waliyoitaka ni Bachelor of Education Lakini Mimi wa Bachelor of education in Psychology ambaye ndio nafit zaidi kwa kazi iyo mfumo unanikatalia, Sasa je nikiedit iyo kozi yangu na kuweka bachelor of education ili tu niombe nitakuwa nimetenda kosa?
Wanakupiga chini siku ya interview pale wakikagua vyeti ili uingie ndani hutaamini,
 
Wakuu Salam,

Kuna kazi hapa nataka kuomba na Nina vigezo lakini Kama manavyojua huu mfumo wa utumishi ulivyo na shida, umenikatalia.

Sasa nataka ni-edit jina la kozi niliyosoma ili tu niweze kuomba kazi hii. Mfano katika nafasi ya kazi ya warden, Moja ya qualification waliyoitaka ni Bachelor of Education Lakini Mimi wa Bachelor of education in Psychology ambaye ndio nafit zaidi kwa kazi iyo mfumo unanikatalia, Sasa je nikiedit iyo kozi yangu na kuweka bachelor of education ili tu niombe nitakuwa nimetenda kosa?
Ushauri mwingine ambao unaweza kufata na ukaomba ikakubali nenda sehemu ya chart nasi waandikie Technical support team wanakurekebishia usipige simu maana kuwapata tu ni mtihani
 
Sawa mkuu

Nilishawahi fanya kama mleta uzi kipindi cha nyuma. Mrejesho ulikuja walinitema yaani sikufit qualifications zao ilihali nilikua nimefit. Ushuhuda wa skrinshot upo chini.

Mfumo ukikukataa unakua kama ule msemo wa kimakonde "Ukisimama nchale ukichuchumaa nchale"
 
Halooo basi Bora tukalime tu, hamna la maana hapa
 
Usije uka jitusu u change , wata ku shortlist ila ukifika dodoma wakat wa paper wanakutoa wata kwambia ume chezea system ..ilishawahi kumtokea mtu wangu wa karibu
 
Hii syatem ya utumishi ya sasa ni ya ovyo sanaa alafu ni biased, mfano kuna post wali weka ya airport security officer ..
Kyk zile sifa wakaweka watu walio soma mambo ya PSPA, CD, and other social studies sasa ajabu candidate mwenye bachelor tofauti na walizo taja ukiomba syatem ina kutemaa. Sasa ni nini maana ya kuweka neno and other social science ? Upuuzi mtupuuuu
 
Same case, kuna post wanahitaji Graduate Engineer wa kozi yoyote ile. Cha kusikitisha kwakua yangu (Water Engineering) hawajaimention system inanikataa. Leo ndo deadline yao[emoji16]
 
Back
Top Bottom