Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Wakuu Salam,
Kuna kazi hapa nataka kuomba na Nina vigezo lakini Kama manavyojua huu mfumo wa utumishi ulivyo na shida, umenikatalia.
Sasa nataka ni-edit jina la kozi niliyosoma ili tu niweze kuomba kazi hii. Mfano katika nafasi ya kazi ya warden, Moja ya qualification waliyoitaka ni Bachelor of Education Lakini Mimi wa Bachelor of education in Psychology ambaye ndio nafit zaidi kwa kazi iyo mfumo unanikatalia, Sasa je nikiedit iyo kozi yangu na kuweka bachelor of education ili tu niombe nitakuwa nimetenda kosa?