Kuchapwa watoto kiasi hiki ni sawa?

Kuchapwa watoto kiasi hiki ni sawa?

Tundazuri

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,932
Reaction score
2,525
IMG-20250218-WA0001.jpg
 
Kuna vitu viwili. Huwa navisema humu kila siku

1.) Mtu akishakuwa Muislam, hata awe professor, reasoning yake ni sawa na mtu wa darasa la pili, maana hata umwambie mtoto wa miaka 9 aolewe, atatetea kwamba ni sawa. Hata watoto wachanga kama hawa kupigwa hivi, litatetea kwamba ni sawa.

2.) Ukimpiga hivyo mtoto wangu, nakuuwa.
 
Nimeshindwa hata kuelezea, naomba kufahamu kama ni sawa jaman,. Kuna mtoto mdogo hapo nimemuonea huruma sana.

Lakini serikal imekataza kuchapa watoto wawapo mashule, sasa swali, hapo ni wanaruhusiwa kuchapwa namna hiyo? Hakuna adhabu nyingine kwani ya kuwafanya wasirudie kosa?

Nawasilisha.
Cc: Doroth Gwajima
Nimeona tayari kesi husika Iko mahakamani hivyo, siwezi kutoa maoni zaidi tusubiri Sheria husika huko mahakamani ifanye kazi yake. Ahsante
 
Mbona anawachapa kisaatarabu sana,watu tumechapa katika umri kama huo kwa kuninginizwa juu ya kama za kufulia.

Wazazi wa siku hizi,mnajifanya hamuwadhibu watoto ndio mnakuja kujenga watoto mashoga na makahaba.

Mtoto wa kiafrika ni fimbo tu,lasivyo tujiandae kizazi cha badaye kiwe kama cha wazungu.
 
Acha kuchanganya

Regious issue na illegal issue hapo ni madrasa yako regulated na regious ethical issues japo zko against illegal
kwa hiyo dini ya kiislam inaruhusu kuchapa watoto kikatili namna hii? ndivyo unavyotuambia?
 
Back
Top Bottom