Kuchelewa kwangu kunanitisha sana

@cariha kipenzi tolea mifano wabongo wenzako wazungu sio wenzetu kabisaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila kama kwer... iv iyo mifano ya hao wazungu wametokea familia za kitajiri ujue ... sasa inakuaje inakuwaje inafananishwa na maisha ya watu wauku
 
Ila kama kwer... iv iyo mifano ya hao wazungu wametokea familia za kitajiri ujue ... sasa inakuaje inakuwaje inafananishwa na maisha ya watu wauku
Huku ni kachalala mbwa Koko ni mwendo wa kunuka umasikini.. usifananishe wazungu na utopolo wa huku Africa asee [emoji848]
 
Mda wako bado sana ila nimegundua kitu hao wanaokulazimu kuoa ndo presha ipo hapo kuna sister mwezi mmoja uliopita alitimiza miaka kam yako sema yeye ana position nzuri kazini pesa anayo ni mchapa kazi sasa mi sijui maisha yake ila wakati watu wanamuwish mara wanampost akiwa kweny gari yake mara kwake amejenga kigamboni

kuna kundi kubwa wanamwambia sijui wanamtania ila kama wanamlaumu eti umri wa 30 huna mtoto wala mchumba ila nikaona kama anachukia fulani na kujiona mnyonge wamkazania hat mi nikajua kumbe hana mtoto ni mtu mzima kabisa analea wadogo zake hapo kwake na kuna katoto kapiga nacho picha kumbe ni mtoto wa mdogo wake
 
Mshukuru Mungu kwa uhai na afya njema. Pili mshukuru Mzee kwa kukufukuza nyumbani.
Tatu jishukuru kwa kugundua kwamba unatakiwa kufanya kitu kuhusu maisha yako.
Kumbuka hatuwezi kufanana wote, kuna watu wametokea familia za kitajiri na hawana mwelekeo, kuna wengine wametoka familia masikini na wako safi tu, kuna watu wana umri mkubwa mambo yao hovyohovyo tu, hapohapo kuna watoto wadogo tu ki umri wako vizuri hatari. Usijilanganishe sana na mtu ila hakikisha kila siku unafanya jambo hata kama ni dogo kuelekea kukuhamisha hatua moja kwenda nyingine.
 
Una bahati sana ila hujui tu, hapo huna familia na usilogwe kufanya hivyo.

Una opportunity nyingi za kuweza kuangalia maisha mengine popote hapa duniani huna bond yoyote na Tanzania.

Kumbuka kuna watu wanateseka kwa sababu ya bond za familia hawawezi kuziacha familia zao zisambaratike kwenda kuangalia maisha kwingine, kumbuka wewe ni raia wa dunia unaweza kuishi nchi yoyote na mambo yakajipa.

Tanzania ndio nchi pekee dunisni hajuriksni aliyesoma nani na asiyesoma nani.
 
Huyo tatizo lake ni tabia mbaya, ila wewe huwezi kuzijuwa.

Ni ngumu sana mwanamke smart kukosa life partner au sperm donor.

Kuna vidada vikishakuwa na check number ni tatizo na dharau kedekede na kujiona wapo class ya juu wakati wanaume wenye class hizo hawana time nao.
 
wako wengi yaani hapo 27 27 mpaka 28 hawan watoto na hawana wasiwasi huyo dada ni mtani sana sidhani kama anadharau mtu wa kjichanganya mno
 
Hujachelewa, na hasa kwa kuwa umejitafakari.
Unapofanya kazi yako, hakikisha unajiwekea mazingira ya kuhakikisha unapata malipo ya kazi husika. Umetengeneza website, hulipwi, Kwa nini huzizimi au kuwanyima access wahusika ili wakulipe.
Ukiwa unapata malipo ya kazi zako, basi kila ndoto yako itatimia. Kwa ufupi, tengeneza kipato cha uhakika, usitegemee vya kupewa.
 
Mkuu Pierre Liquid Mzee?
 
Asipokuelewa hapa labda aende sayari nyingine akaishi, good advice.
 
Pambana bongo life n ngumu sana mm aliekua ananipa ushauri ye mwenyewe alijinyonga nikabak mm niliekata tamaa kwahiyo maisha hayanaga mwenyewe yakiamua kukuchenjia yanakuchezeshea bakora ujana wako wote na kukuacha uyafaidi uzeeni, au uyafaidi ujanani na uteseke uzeeni au yakucharaze bakora mwanzo mwisho japo wapo wanaoishi vizuri mwanzo mwisho haya yote kaandaliwa mwanadamu ndo maana mwsho wa siku kuna kifo kwa wote pale ndo usawa unarudi ila dunian hakuna usawa Cha msingi tufanye kaz kwa bidii na tumuombe Mungu.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
wako wengi yaani hapo 27 27 mpaka 28 hawan watoto na hawana wasiwasi huyo dada ni mtani sana sidhani kama anadharau mtu wa kjichanganya mno
Wewe pia inaonekana bado mdogo, huwajui wanawake.

Mwanamke anaweza kufurahi na kuchat fresh na watu baki akirudi home anambadirishia sura mwenza wake.

Ni vile tu Tanzania ndoa siyo swala la wanandoa wawili limekaa kiokoo zaidi, lakini tungekuwa free kama wazungu bila kuwaza watasemaje, watanifikiriaje, ndugu zangu nitawaambia nini, basi nakuhakikishia 50% ya ndoa zilizopo watu wangeshadivorce, ndoa nyingi ziko ICU, zinaendelea kuwepo kwa sababu batili tu wala hazina mashiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…