Kuchelewa kwangu kunanitisha sana

Unaanzaje kuoa wakat hata ww pesa ya kula haikutosh... kwang mm haiko sawa.. mkuu.. mtoto wa watu yuko ndan na ww hujui pesa unaenda kuipata wap ... kuna mda uwoga n akili ya kujpanga
UsiendekeA uwoga

Endekeza vipaumbele vyako ni vipi

Mfano mimi format yangu lazima nifanye Jambo moja Kisha lingine

Siwezi rukia rukia mambo halafu yaje yaishie njiani

Fanya moja kwa wakati mmoja Kisha hamia lingine

Safari huanzisha nyingine utafanikiwa sana na marufuku kuishia njiani
 
Kosa kubwa tunafanya wabongo ni muda wote kutafuta maisha badala ya kuishi, ukiamuwa kuishi maisha ni burudani tu.
Dah umeandika point yenye mashiko mno most of the time Watanzania tunatafta maisha na kusahau kuishi na ku enjoy life, most tunafikiria kuwa maisha ni kuwa na hela,majumbo n.k kumbe ukipata hichi utataka kitu kingine, maisha ni haya haya tuishi na tufurahi as if kesho haipo tena kwetu, kipindi niko jobless nilikuwa najiambia nikipata kazi nzuri nitakuwa na furaha baada ya kuipata zikatokea changamoto nyingine.
N. B tukumbuke kuishi na kufurahia maisha kuliko kukimbizana na material things na kusahau kuishi
 
Mtu kama wewe upate nafasi sehemu nyeti zenye upenyo wa kupiga, miaka mitatu tu utasikia ana ghorofa huko salasala, sijui Mbezi...

Take your time, sisi watu wazima tumekuzidi sana lakini bado huwezi kuhesabu mafanikio yoyote.
 
Mkuu Kwa hiyo taaluma uliyonayo fanya mpango utengeneze vitu vyako, utatoboa kwa mbeleni
 
Hapo ndio ugomvi wangu na wife ulipo, sitaki kuwa mtumwa wa maisha nahitaji kurelax,

Nyumba nzuri ya kuishi ipo, asset kiasi chake watoto wanakula ada ndefu mashuleni kwao still bado mtu anataka akuingize kwenye mambo ya kujenga usawa huu hapana kwakweli.

Hawa watoto wa sasa kama unaivest peea nyingi kwenye elimu yao na isije kuwasaidia basi hata ukijitesa kuwaachia asset nyingi hazitowasaidia kamwe, sanasana wataishia kuuza tu.
 
Hakuna kitu kinaitwa kuchelewa au kuwahi wewe kijana...

Ni kwamba tu umekuwa ukikutana na watu, au vitu, au mazingira ambayo bado hayajawa sahihi kwa mafanikio yako...
 
Na ukicheza utagonga 40 huna hata godoro [emoji1][emoji1]
Kifupi haupo peke yako, enjoymaisha yako na kile kidogo ulichonacho ukianza kujifananisha na wengine ni mwanzo wa kufa kwa stress.
Kwa Tanzania watu waliotafuta pesa kiuhalali, huwezi kutobowa ukiwa under 40.

Kuna mzee wangu ni mhadhiri wa Udsm nyumba anayoishi ni ya ghorofa la kisasa lakini amelijenga kwa miaka 20 mpaka kukamilika, ujana wake wote ameishi kwenye nyumba za chuo mpaka amemaliza ghorofa lake ndio kahama nyumba ya chuo.
 
Bado hujachelewa acha kucompare maisha yako na wengine we pambana ,pia tafuta mwanamke oa utakua siras na maisha
 
Wife wako hajui purpose ya life kuwa ni ku enjoy life tayari mnapo pakulala na mna watoto mnasomesha plus investment kadhaa why stressing much rather than enjoying life?
Mkumbuke kuishi na kuwa Leo ni njema kuliko kesho usiyo ijua
 
Ndio una mpango wa kugombea na ubunge,pambana
 
A
All in all UMECHELEWA
 
Wife wako hajui purpose ya life kuwa ni ku enjoy life tayari mnapo pakulala na mna watoto mnasomesha plus investment kadhaa why stressing much rather than enjoying life?
Mkumbuke kuishi na kuwa Leo ni njema kuliko kesho usiyo ijua
Watu wengi wanacomplicate sana maisha, halafu hapohapo kuna mpumbavu anapata ujasili wa kusema huna akili eti!! [emoji1][emoji1]

Umaskini wa akili ni kitu kibaya sana kuliko mali, ukicheck mfumo wa wenzentu mshahara wanalipa kila ijumaa kwa sababu wanaamini unastahili kuwa na weekend nzuri, ndio chimbuko la msemo wa have a nice weekend unapewa check yako au bahasha na ukirudi jumatatu ni blue Monday mnaanza upya.

Katika style ya namna hii huwezi kuwa msindikizaji kwenye maisha, unaenjoy life every weekend.
 
Asipokuelewa hapa basi hata kaa aelewe, cha msingi asikate tamaa,kuna watu wanasema life start at 40
 
Ikawaje?
 
Nimechelewa tu kuandika hii article ila umesahau kuniambia.baro na muda wa mafanikio mfupi.pambana
 
I agree with you sema mifumo tu ya life huku hata utendaji wa kazi na masilahi hayaeleweki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…