Kuchomekea T-shirt ni ushamba?

Kuchomekea T-shirt ni ushamba was kiwango Cha pro max
Siyo kweli, kuna mavazi ukichomekea unapendeza na usipochomea unapendeza pia.
Kuna vazi shati, hazihitaji kuchomea, na kuna shati kuvaa bila kuchekea hazipendezi.
.
.Kuna shati ukichomea sawa na usipochomea sawa, hivyo hivyo kwa T shert, Chakuzingatia mavazi ni sehemu ya urembo pia, Unaweza vaa mtindo unakupendezesha mbele watu.
 
Kabisa mkuu,,

English style wengi huchomekea either t shirt au shirt ili waonekane smart zaidi..

T shirt inapendeza zaidi ukichomekea na jeans au cardet.
Mara nyingi zile t shirt za kola ni nzr sana kwa kuchomekea kwenye jeans.

That's my moves.
Sahihi kabisa mkuu, kama hiyo ndyo style yako basi naamini inakukaa vyema ndyomaana unaipendelea zaidi.

Pia mtu akiona mtindo fulani unamfaa basi ni vyema kuutimiza bila kujali maneno ya walimwengu
 
Kama unauza mabeseni na vyombo vya plastic siyo ushamba ndo unatakiwa uvae hivyo
Lucha wewe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…