CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
mshahara wako ulikuwa kiasi gani per month, sema tu hakuna amayekufahamu humuNilikuwa napanga Nyumba nalipa 400000 kwa mezi,nimokopa nikajenga Nyumba nanimehamia sina shida kabisa uache uongo we we,kukopa kunasaidia sana tu
tumia lugha ya ustaarabu. Huyu kaleta uzi fikirishi wewe unamtukana na panya, Mungu akupige kofiWewe kweli unakula panya. Usisifie uwozo kama chakula chako. Mikopo inayotolewa na hizi bank zetu ndio inaumiza sana kwa riba kuwa kubwa lkn upande mwengine huwapa nafuu watu wengi kwa kuwapatia makaazi mazuri na kuondosha usumbufu wa kuhamia kila mitaa.
Mkuu utaratibu wa kupata mkopo Wizara ya Ardhi upoje huu? I become interested.Si kweli maneno yako maana inategema kama wewe ni mfanya kazi wa umma unaweza kuchukua mkopo according to your salary au ukaenda Wizara ya Ardhi wanatoa mkopo wa interest ya 2% , Private Sector ninaamini pia kuna njia ya kupata mkopo bank .... ukiwa na nia ya kufanya jambo mtu yeyote asikukatishe tamaa! Don't fear anything but FEAR itself,
sasa kama uwezo wako wa kukopa ni mil mbilI, nyumba itaisha kweliNilikopa 2,000,000 Nikanunua pikipiki ya San lg na ilikua 2009.Mkopo uliisha 2011.Pikipiki ipo hadi Leo nakula bata kinoma.Mkopo ukiutumia vema unalipa.
Nenda Wizara ya Ardhi gorofa ya 9, utapata maelezo yote, lazima uwe mfanyakazi wa UMMA. Ni 2% interest only, kuna benefits nyingi sana kwa wafanya kazi!Mkuu utaratibu wa kupata mkopo Wizara ya Ardhi upoje huu? I become interested.
Nimeipenda ngoja na Mimi nifuatilieNenda Wizara ya Ardhi gorofa ya 9, utapata maelezo yote, lazima uwe mfanyakazi wa UMMA. Ni 2% interest only, kuna benefits nyingi sana kwa wafanya kazi!
Wazo lako zuri lakini ktk uhalisia wachache wanaweza,biashara pia ni risk taking kama kununua gari.
Yaani kwa mtumishi aliyebanwa na mazingira hayamruhusu kufanya biashara hamna jinsi,lazima akope ili awe na nyumba. Kuwa na nyumba kutamsaidia asipange au kupangisha hiyo nyumba apate kodi. Lasivyo atastaafuu bado amepanga kama hakujenga.
Mkopo mbaya ni wa gari ya kutembelea hatari,kama umekopa naamini hata kuilipia bima comprehasive na mikopo ya gari imewaingiza loss vijana sana maintanance si mchezo.
Nimeongelea hasa watumishi. Kutunza fedha nayo ni kipaji,maana fedha ni shetani ikiingia inataka kutoka.[emoji28] [emoji28]
Acha uoga wa maisha..Ulaya Watu wanakopa sana kuliko uku..Unaogopa Kudaiwa?Marekani ni nchi Tajiri ila bado ina daiwa deni kubwa tu.Kweli mkuu ishi vzuri hata ka kupanga watoto wasome vizuri mambo mengine yatafuata huko ulaya umeona nani anajenga?
Nashikuru sana maana nataka nikakae huko huko
Take home ya watumishi wengi wa serikali ni 450000/=,wewe siyo wa mchezo.Nilikuwa napanga Nyumba nalipa 400000 kwa mezi,nimokopa nikajenga Nyumba nanimehamia sina shida kabisa uache uongo we we,kukopa kunasaidia sana tu
Sehem nzur ni zip mkuuSafi sana mkuu tena ukiwa huko ht gharama zitapungua na ht ukikosea next time utajua shida ilikua nn so keep it up
Sehem nzur ni zip mkuu
Nashukuru sna dadaake,,naweza kukujia pm nduguTulilima ruaha mbuyuni ukipata sehemu ambayo ni karibu na maji utafanya vyema usiogope kuthubutu mkuu Mungu akutangulie hakuna ambacho hakina changamoto
Wacha tulifanyie kaziNenda Wizara ya Ardhi gorofa ya 9, utapata maelezo yote, lazima uwe mfanyakazi wa UMMA. Ni 2% interest only, kuna benefits nyingi sana kwa wafanya kazi!
Mola akuongozeWacha tulifanyie kazi
Tetemeko la aridhi likipiga nyumba. Nalo ni swala muhimu sana la kuzingatia kwa iyo asara aikwepeki katika maisha ndugu yanguTena uwongo iv biashara ni risk ikifa si bora nijenge tena naishi kwa amani ya moyo
Uwezo wetu waafrika wa kufikiria ni mdogo ukilinganisha na watu weupe na ndio maana waindi na Waarabu wengi wanakaaa katika nyumba za kupanga na wanaishi maisha mazuri kuliko sisi waafrika. Maana wao wapo makini na mzunguko wa pesa. Awawezi kukopa pesa ya kununua Gari au kujenga nyumba ya kuishi. Na akikopa pesa ujue ya biashara kama ni kujenga ni nyumba za biashara, petroleum station [emoji618], mahotel, magodown na kama ni magari ni kufanyia kazi kama mashine za kuchimba barabara, mitaro na Gari kama za kubeba abiria na magari ya mizigoAfrika watu wanatamani kuwa na nyumba zao wenyewe-sijui kwa nini???? Kila mtu utasikia nataka kuwa na kwangu!