Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

Wazungu na waarabu wanatuambia watu wetu wakifa washakufa na siokitu tena.waacheni kuhani makaburi maana mnaabudu mizimu.

Matokeo yake wanakuja kutushawishi kuwaabudu maria, yesu, muhamad. Hawa oote ni wameshatangulia mbele za haki lakini tunalazimishwa kuwaabudu. Hii nisawa na kutushawishi tuache mizimu yetu tuabudu mizimu yao ambayo haituhusu kabisa.
Mtu mweusi wa sasa ukimuuliza babu wa babayake jina lake nani hajui. Ila ukimuuliza kizazi cha akina maria na muhamad anakutajia hadi vitukuu.
Ndio maana mtu mweusi hatokaa kuendelea. Huwezi kila siku kuumiza kichwa kutunza kumbukumbu za uzao wa mtu asiekuhusu hata rangi yake yamwili tu.
 
Wengine kumkataa Yesu ni sawa na kumkataa Mungu, ila wengine wanamkataa wazi wazi na bado wanaitwa ni Taifa telule la Mungu!!

Kuna logic hapa kweli?
Onyesha ushahidi ni wapi waisrael wanamkataa Yesu iwe kwenye biblia au kwa matamshi yao
 
ukielewa maana ya imani,utagundua kuhoji ni dalili ya ugonjwa wa akili.

imani inakuelewa uamini Mungu aliumba mtu kwa matope,akawaje na nyama??huhoji hili wewe mbioooo mpaka kwenye uteule wa israeli.

bangi bila msosi.
Shida watu wakipata pesa kidogo au wakiwa na afya njema huwa hawaoni uwepo wa Yesu wala Mungu subiri awe kwenye shida, hata Babu Oseya(mwanamziki) wakati yupo gerezani alituma ujumbe kuwa siku akitoka gerezani atamtukuza MUNGU na kumtumikia lakini baada ya kutoka akarudi kule kule. Lisu alipigwa risasi 38 lakini hakufa hapo hapo kuna watu wakipigwa hata na manati wanakufa.
 
Inashangaza sana mkuu.. haya mambo ni kuyaacha tu
 
sina shaka katika shibe na majivuno kutoka kwa binaadam,kiumbe binaadam akishiba hujaa dharau na majivuno.

ni heri huyu ambaye hujaa dharau baada ya kujihisi ni imara,kuliko yule ambaye hujifanya anajua kufikiri, wakati hata sekunde moja ijayo hana uwezo wa kuitabiri kwa ufasaha.
 
siyo kweli ni kwamba tu labda hauelewi vizuri, wayahudi siyo wakristo kwanza wayahudi walifukuzwa Ulaya karibia yote kuanzia uhispania, uingereza na mpaka Ujerumani, hata USA na australia wayahudi wameanza kuruhusiwa hivi karibuni na sababh KUU ilikuwa ni Dini kwani hizo nchi zote zilikuwa za kikristo hapo awali.

sasa kinachoendelea sasa hivi ni upotoshaji au tuseme divide and conquer wayahudi wana power duniani ya monitery unaweza kusema wanatawala dunia hata greenberg wa royal tour na loya amsterdam wa tundu lisu ni myahudi pia, hivyo wayahudi wanawachonganisha waislamu na wakristo ili wawatawale wote wawili, ukiangalia mass immigration of muslims to western christian world, leo hii nchi za ulaya zimejaa muslims ambao wana culture tofauti na wanataka sharia ulaya na USA.

hivyo kuwa muangalifu usichanganye dini, siasa na power, kingine kuna jaribu kujifunza kitu kinachoitwa zianism ambacho ni tofauti na judaism …
 
Tuwaombee
 
Kwa yanayotokea tanzania huoni kuwa tanzania tumelaaniwa
 
Bado hujajibu hoja ya msingi hapa.
 
Wao wana sababu zao, wewe pia unapaswa usome ili kujua ukweli

Nimeisoma Biblia, Kweli nayoiamini mimi ni kuwa Kristo Yesu ndio Bwana na Mwokozi wangu, hata dunia nzima ikimkana haitobadilisha imani yangu
Lugha unayoongea, ilianzia Marekani.

Fuatilia usijiridhishe sana. Make some efforts to learn more.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…