cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Ndio mana nasema Christmass sio ishue kwa wayahudi, wao wanasherekeaga sherehe inaitwa chanuka au hanukha kama sio kosei na tarehe ni hizo hizo za christmass ndio mana unaona kama kunakuwa na shangwe mkuu, i have a jew friend na saivi yupo haifa yan nikusikilize wewe unidanganye wakati nna mtu wakumuuliza moja kwa moja ? Kwakifupi Jews hawataki kusikia habari za Yesu na ushahid upo masta sasa we unabisha nini ? Juz tu hapa kuna video inaonyesha watoto wadogo wanawatemea mate wamama wazima walikuwa wamevaa rozari, Wayahudi hawavaagi ile misalaba..
Naona unajiondoa akili.....Wayahudi si Wakristo......au huelewi? WAPI NIMESEMA Wayahudi ni Wakristo? Waislamu ni Waislamu....hata kama Wanayesema Yesu ni Ni Nabii Issa.....Itakuwa ni kituko nikianza kusema Kwa nini Waislamu hawasherekee Kristmas
Wayahudi si Wakristo.....Kwa Mkristo yoyote anayeijua dini yake wala Hilo halimpi shida linaelezeka kwa kutumia Biblia....Kama vile anayeaamini Allah sio Mungu aliyeko ndani ya Biblia....ni Vitu viwili tofauti......Allah ndani ya Quaran....ni Mwingine na Mungu aliyeko ndani ya Biblia ni mwingine kabisa.....! Ni uamuzi wako kuamua tu yupi unayemwani...na kujenga hoja juu yake! Quraan na Biblia ni vitabu tofauti kabisa....Ujumbe wake hata products zake....Positive na Negative.....Najua unajua nasema nini.