Nyakati hizi ni za hatari sana, lakini zilikuwepo huko nyuma. Yote uyaonayo ya Homosexuality, Abortions, Transgenderism, Violence and War yalikuwepo katika vipindi vyote vya wanadamu (All the ages of men), na ndiyo vimekuwa vyanzo vikubwa vya madola ya kale kuanguka.
Dola lolote lile huanza kuanguka kutokana na uozo wa ndani (Internal Decadence), manifested in the form of extreme corruption, sexual perversion, hatred towards GOD & The Divine and Lawlessness. Hivyo jamii yetu pia inaelekea kwenye anguko kubwa kama jamii za kale:
The Antedeluvian Age ilianguka kisa uozo wa hivi.
The Post Deluvian Age ilianguka kisa uozo wa hivi.
The Bronze Age ilianguka kisa uozo wa hivi.
The Iron Age ilianguka kisa uozo wa hivi.
The Medieveal Age ilianguka kisa uozo wa hivi.
The Middle Ages ilianguka kisa uozo wa hivi.
The Capitalist na Information age itaenda kuanguka soon.
Hivyo dunia haiwezi kuisha, lakini OUR AGE IS AT THE PRECIPICE, na kama maandika yanavyosema. Matthew 24:37 "As it was in the days of Noah, so it will be at the coming of the Son of Man". Haya yote ya sijui USHOGA, KUTOA MIMBA, RUSHWA yalifanywa hata na mataifa ya kale ya ISRAL NA YUDA, ukisoma kwenye Yeremia, NYAKATI n WAFALME. Na ndiyo chanzo kikubwa MUNGU kuwafukuza Waisraeli pale Middle-East.
Kuna kitabu kinaitwa THE GREAT LEVELER: VIOLENCE AND THE HISTORY OF INEQUALITY FROM THE STONE AGE TO TWENY FIRST CENTURY, kimeandikwa na Walter Scheidel, kinasema kwamba Ustaarabu (Civilizations) huwa zinafika juu na kujisahau hivyo zinaanguka vibaya na kuzaliwa nyingine ambazo zinakuwa hazina hatia na zenye usawa kwa watu wote.