Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #141
Kukataa ni kuacha kufanya kile ulicho amrishwakukataa ni kutokubaliana na jambo wala sio kukiuka wala kupinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukataa ni kuacha kufanya kile ulicho amrishwakukataa ni kutokubaliana na jambo wala sio kukiuka wala kupinga
As far as bible is concerned don't you think that, this would be the last age(civilization) in the history of mankind?Nyakati hizi ni za hatari sana, lakini zilikuwepo huko nyuma. Yote uyaonayo ya Homosexuality, Abortions, Transgenderism, Violence and War yalikuwepo katika vipindi vyote vya wanadamu (All the ages of men), na ndiyo vimekuwa vyanzo vikubwa vya madola ya kale kuanguka.
Dola lolote lile huanza kuanguka kutokana na uozo wa ndani (Internal Decadence), manifested in the form of extreme corruption, sexual perversion, hatred towards GOD & The Divine and Lawlessness. Hivyo jamii yetu pia inaelekea kwenye anguko kubwa kama jamii za kale:
The Antedeluvian Age ilianguka kisa uozo wa hivi. The Post Deluvian Age ilianguka kisa uozo wa hivi. The Bronze Age ilianguka kisa uozo wa hivi. The Iron Age ilianguka kisa uozo wa hivi. The Medieveal Age ilianguka kisa uozo wa hivi. The Middle Ages ilianguka kisa uozo wa hivi. The Capitalist na Information age itaenda kuanguka soon.
Hivyo dunia haiwezi kuisha, lakini OUR AGE IS AT THE PRECIPICE, na kama maandika yanavyosema. Matthew 24:37 "As it was in the days of Noah, so it will be at the coming of the Son of Man". Haya yote ya sijui USHOGA, KUTOA MIMBA, RUSHWA yalifanywa hata na mataifa ya kale ya ISRAEL NA YUDA, ukisoma kwenye YEREMIA, MAMBO YA NYAKATI na WAFALME. Na ndiyo chanzo kikubwa MUNGU kuwafukuza kikatili Waisraeli pale Middle-East.
Kuna kitabu kinaitwa THE GREAT LEVELER: VIOLENCE AND THE HISTORY OF INEQUALITY FROM THE STONE AGE TO TWENY FIRST CENTURY, kimeandikwa na Walter Scheidel, kinasema kwamba Ustaarabu (Civilizations) huwa zinafika juu na kujisahau hivyo zinaanguka vibaya na kuzaliwa nyingine ambazo zinakuwa hazina hatia na zenye usawa kwa watu wote.
Endelea kudhani hivyo hivyo.Nadhani sababu ilikuwa kwa upande wa kiimani zaidi.
SawaEndelea kudhani hivyo hivyo.
Africa kuwa bara la kimaskini tayari ni udhibitisho mkubwa Shetani ameshinda.Habari za wakati huu wadau na wana familia wote.....
Moja ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu ni familia, hata Mungu alipo muumba Adam aliona amekuwa mpweke na akamletea mwenza, pia mwisho akawaamuru waende wakaijaze dunia.
Hivyo basi, njama au lengo kuu la shetani ni kusambaratisha na kuvuruga nguzo ya familia, na njia mojawapo ni kuhakikisha hakuna ndoa wala malezi ya pamoja.
Ifuatayo ni mifano au mambo ambayo yanaashiria ushindi huu ambao shetani anaupata.....
Mfano 1. Kumeibuka wimbi kubwa la vijana kudai na kuhamasisha wengine kupinga na kukataa swala la ndoa, hii ni ishara ya juhudi na ushindi wa shetani katika kuharibu Muhimili wa familia.
Mfano 2. Malezi ya pamoja yamepungua, single mothers wameongezeka na watoto wengi wanapata malezi ya upande mmoja.
Mfano 3. Watoto kutumia muda mwingi mashuleni, asubuhi mpaka jioni mtoto anashinda nje ya nyumbani, malezi ya wazazi atayapata sangapi au mpaka weekend?
Mfano 4. Wimbi la mapenzi ya jinsia moja, kama watu wakishiriki aina hii ya mahusiano basi tayari hapatakuwa na familia tena kwani hakuna uwezekano wa kuzaa watoto.
Mfano 5. Wanawake kutoka nyumbani, Muhimili wa familia unategemea sana uwepo wa mwanamke, kama anatoka kutwa nzima na kuwaacha watoto, hapo tayari familia inakosa uimara wa malezi ya upande wa mama.
Mfano 6. Ongezeko la talaka au ndoa kuvunjika, tunashuhudia namba kubwa ya ndoa ambazo zinavunjika baada ya muda mfupi tu kufungwa, hii ni ishara kwamba Muhimili wa familia upo hatarini kupotea au kusambaratika kabisa.
Haya yote yamo katika kitabu ambacho kiliandikwa mnamo mwaka 1990 kabla mifano tajwa hapo juu kuenea kwa kasi kama ilivyo sasa.
View attachment 3063649
ANGALIZO : Kwa wale wote ambao wanapinga na kukataa kuwa na familia, mnapaswa kujua kwamba mnamsaidia shetani kutimiza lengo lake.
Umasikini upo duniani kote, lakini huku kwetu umezidi japo tuna kila kituAfrica kuwa bara la kimaskini tayari ni udhibitisho mkubwa Shetani ameshinda.
Haujazidi. Umepitiliza.Umasikini upo duniani kote, lakini huku kwetu umezidi japo tuna kila kitu
As far as bible is concerned don't you think that, this would be the last age(civilization) in the history of mankind?
Because I have seen in your words like this is not the last civilization "Hivyo dunia haiwezi kuishia, lakini OUR AGE IS AT THE PRECIPICE". Would there be some other civilizations after this?
Okay, now we have to say, it's outside Bible context, don't we?Yes, like there were others before ours!
Em tupia selfie nionee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pia saivi sivai mabwanga tena, saivi nanyuka vitu vya kileo [emoji23]
Sim yangu camera ya mbele ni mbovu 😂Em tupia selfie nionee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupia hivyo hivyo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sim yangu camera ya mbele ni mbovu [emoji23]
It's a basic historical logic.Okay, now we have to say, it's outside Bible context, don't we?
Huo ni mtihani 😂😂Tupia hivyo hivyo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Em tupiaa bhanaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo ni mtihani [emoji23][emoji23]
HakuoaYESU ALIOA??
Saivi usiku nishalala ngoja kesho asubuhi 😂Em tupiaa bhanaa wee,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hakuoa kwa sababu Duniani alikuja kwa mission maalum na muda wake ulikuwa limited. Maisha ya ndoa yangemfanya kukosa usahihi au uimara wa kuzunguka na kutangaza neno kila mahali.Sasa je?
Si uyo ameketi kuume kwa Mungu Baba