Kudorora kwa muhimili wa familia na wimbi la kukataa ndoa ni ishara ya ushindi kwa shetani

Let the devil win!
 
Kwanza dola zote kubwa huwa zinajengwa juu ya vita, utumwa na ubaguzi wa madaraja caste system/apartheid. Pia hizo civilizations au ages zote ulizozitaja hazikuanguka tu, zilipitwa na wakati, zilikuwa outdated (Nuclear age> Iron age> Bronze age> stone age).

Halafu umeichukua historia fupi ya eneo dogo tu la Mashariki ya kati ukaifanya ndio historia yote ya dunia nzima!
 
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.
 
Siku shetani akipata mwanasheria mzuri mtashaa..haiwezekani kila kitu ni yeye!
 
Umefika mzee wa kuthibitisha...

Kuthibitisha Mungu yupo ni kuona ishara zake, huwezi Muona kwa macho ya kawaida
Thibitisha Mungu yupo, acha longolongo.

Kwani wapi nilisema nataka kumuona kwa macho?

Hizo ishara unazosema ni zake ni zipi? Na unathibitushaje ni zake?
 
Pia kumbuka kwamba Mungu aliweka ahadi kwamba hatoleta gharika au kusambaratisha vizazi kwa maovu yao tena, bali atawasubiri mpaka siku ya hesabu ifike
Hivi nyoka wenye sumu, nzi wa majumbani, mende na mbu wanaoambukiza Malaria nao walipona kwenye gharika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…