Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Hakikisha unafanya service ya engine.
2. Hakikisha unakua na spare tyre.
3. Hakikisha unakua na wheels spaner, Jeki, Pembe tatu, fire extinguisher.
4. Hakikisha gari ina bima na kadi ya ukaguzi.
5. Kutoka Dar to Morogoro jitahidi kua makini sana kwasababu kidogo lami imejisokota na kuna tochi nyingi pia kua makini na magari makubwa yanayo paki karibu na barabara hasa kuanzia Chalinze, Gairo na Dumila.
6. Ukisigea Pandambili to Kibaigwa pale tembea mwendo wa haja wala usiwe na shaka.
7. Kutoka Kibaigwa hadi Chamwino barabara ipo vizuri ila kua makini pale Mtanana karibu na Nako hua kuna Trafic wanaweka kizuizi cha kizushi nabhawaeleweki wale, lakini barabara ipo njema hadi unaingia Dodoma.
Nitaendelea kukupa udambwi udambwi kama utasema unataka kupitia Itigi, Tabora, Isikizya, Nzega to Mwanza..... ama utapitia Ikungi, Singida, Shelui, Ingunga, Nata, Nzega to Mwanza.Balikiwa kwakunipa mwangaza
Sema kupitia itigiNitaendelea kukupa udambwi udambwi kama utasema unataka kupitia Itigi, Tabora, Isikizya, Nzega to Mwanza..... ama utapitia Ikungi, Singida, Shelui, Ingunga, Nata, Nzega to Mwanza.
Kama ndo mara ya kwanza namshauri aanze safari saa saba mchana ili angalau saa kumi na Moja kumi na mbili ashavuka moro.Kipande ya dar moro iko na majanga sana Bora kuimaliza mapema.Kama ni mara yako ya Kwanza kufanya safari ndefu jikaze kiume maana mziki wa kutoka DAR - MWANZA tunaweza wachache sanaaa..
Jitahidi uanze safari yako usiku kuanzia saa nne Hadi tano kama sio mzoefu wa usiku Toka DAR SAA 10 usiku uanze safari yako
Ni kweli sio mbaya Kwa muda huo Ila asiwe na mawenge ya kutaka kutunisha msuli na madereva wendawazimu atajikuta anapigwa vyeti vya kutosha.Kama ndo mara ya kwanza namshauri aanze safari saa saba mchana ili angalau saa kumi na Moja kumi na mbili ashavuka moro.Kipande ya dar moro iko na majanga sana Bora kuimaliza mapema.
Kabisa yaaniNi kweli sio mbaya Kwa muda huo Ila asiwe na mawenge ya kutaka kutunisha msuli na madereva wendawazimu atajikuta anapigwa vyeti vya kutosha.
Max 100 km/h kama atalala singida inatosha Ila kama anataka kutoboa bila Kulala hiyo speed ni ndogo Sana na inachosha..Dar to Mwanza, zaid kidogo ya km 1000.. kama ni mara yako ya kwanza naomba fanya yafuatayo.. ukiacha usalama wa chombo.
1. Pata usingizi wa kutosha kabla ya safari
2. Vunja safari katikati... ni vizuri ukalala Singida
3. Usikubali kwa namna yeyote kushawishiwa kuendesha gari usiku ukiwa umechoka
4. Usikubali ku overtake bila tahadahari ya kutosha.
5. Nenda taratibu, max 100km/hr..
6.Beba carton ya maji makubwa na uyanywe taratibu.
7. Macho kwenye sahani ... angalia taa zote za tahadhari, usikubal hata moja iwake, na ikiwaka paki pembeni kwenye usalama tafuta fundi.
8. Fuata alama za barabarani...
9. Usiendeshe kwa hofu ya maaskari barabarani, wapo kwa usalama wako
10.Mwisho na sio kwa umuhimu, Sali kabla ya safari, Mungu akutangulie.
8. Dodoma kua makini sana maana zile barabara za kukutoa Dar road zinaweza zikakuchanganya namna ya kuifikia Singida road.
Ukianza kutoka Dodoma kua makini kidogo maana pale panakuaga na tochi mitaa ya Nala, lakini utawakuta Trafic kabla ya mzani ama baada ya mzani, pale tembea kwa umakini jidogo.
9. Baada ya Nala we nyooka mazima Kibaigwa ingawa maeneno ya hapo kati ukitoka Barazani panakuaga na tochi za ghafla hasa pale ukisha ona alama ama kibao cha don't overtake, na ukisha wapita tu nyooka na 120 hadi Bahi ukiiona tu punguza mwendo uzingatie 50 pale wanakuepo wazee na tochi yao ingawa wanaweleka. Usisahau Bahi kuna bams iliyo changamka na jitahidi kua makini sana.
Dah umetaja nala dodoma nikakumbuka almanusura yule mbwa atuulie kwenye harrier pale kwenye makutano ya barabara yenye traffic light maeneo ya uwanja wa jamhuri pale . Dah8. Dodoma kua makini sana maana zile barabara za kukutoa Dar road zinaweza zikakuchanganya namna ya kuifikia Singida road.
Ukianza kutoka Dodoma kua makini kidogo maana pale panakuaga na tochi mitaa ya Nala, lakini utawakuta Trafic kabla ya mzani ama baada ya mzani, pale tembea kwa umakini jidogo.
9. Baada ya Nala we nyooka mazima Kibaigwa ingawa maeneno ya hapo kati ukitoka Barazani panakuaga na tochi za ghafla hasa pale ukisha ona alama ama kibao cha don't overtake, na ukisha wapita tu nyooka na 120 hadi Bahi ukiiona tu punguza mwendo uzingatie 50 pale wanakuepo wazee na tochi yao ingawa wanaweleka. Usisahau Bahi kuna bams iliyo changamka na jitahidi kua makini sana.
1. Kutoka Manyoni hadi itigi barabara ni nzuri sana, ingawa kuna bumps kama nne ambazo hazija changamka sana, lakina pia wazee hawapo barabarani hadi unaingia Itigi kabla ama baada ya roundabout.Sema kupitia itigi