Kudrive umbali mrefu

Thread 'Je, unapenda kuendesha gari lako kwa usalama? Pitia hapa' Je, unapenda kuendesha gari lako kwa usalama? Pitia hapa
Huu uzi mbona kama uli copy hapa?

 
Upo sahihi mkuu.Niliukopi ila sikuonyeshesha point of reference.Ila lengo ni kuokoa maisha ya watu.
 
Kwamara ya kwanza mwisho wa mwez huu nimepanga ksafir umbali mrefu kwakutumia usafir binafsi Dar to Mwanza. Naomba muongozo kipi cha kuzingatia hasa ili kupunguza mazonge njiani hususani issue ya service ya chombo chenyew?
Safar ndefu ambayo niliwah kusafir ni kutoka Masasi hadi Arusha.
NImeondoka Masasi sa 1 usiku nikaingia Arusha sa 8 Mchana.
Umbali ni wastan wa 100km+
 
We jamaa ni mwenyeji sana wa hii barabara, kula five[emoji1477]
 
Nadhan Ni muhimu pia kujua anaendesha gari gani
 
Kwamara ya kwanza mwisho wa mwez huu nimepanga ksafir umbali mrefu kwakutumia usafir binafsi Dar to Mwanza. Naomba muongozo kipi cha kuzingatia hasa ili kupunguza mazonge njiani hususani issue ya service ya chombo chenyew?
Wee dili na alama za barabarani epuka over taking zisizo na ulazima fuata masharti ya barabara safari yako uta enjoy.
Ila dar to mwanza ni karibu sana siku nyingine usiseme hivo.
Mi natoka dar hadi guba kusini sudani naiona ilee naicha tena naendelea wee unasema mwanza?daaa
 
Wale hua napiga full mara moja wananiambia tembea nasindikiza na hone kidogo basi safari inaendelea[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…