Kudumisha mahusiano na mwanamke asie na hela ni gharama zaidi ya kununua

Kudumisha mahusiano na mwanamke asie na hela ni gharama zaidi ya kununua

Inafikirisha! Navyofahamu wanawake wamejiweka katika nafasi ya kuhudumiwa kikawaida. Itatofautiana gharama tu.

Apart from wanyang'anyi na chuna buzi wapo wanawake wema tu ni vile wanaume tukimpata tunamchukulia poa na mara nyingi hatudumu nae.
 
Inafikirisha! Navyofahamu wanawake wamejiweka katika nafasi ya kuhudumiwa kikawaida. Itatofautiana gharama tu.

Apart from wanyang'anyi na chuna buzi wapo wanawake wema tu ni vile wanaume tumkimpata tunamchukulia poa na mara nyingi hatufumu nae.
Mleta mada kakusonya kwa hasira.

Anapenda akileta mada kama hii basi comments ziwe za kushambulia wanawake.
 
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA

b. yake ASIWE MAMA WA NYUMBANI kama hana ujuzi mpeleke shule apate ujuzi,kama hana ajira rasmi mtafutie ajira zisizo rasmi kadiri ya ujuzi wake.

kama hana vyote ..mpe mtaji wa biashara..mfungulie biashara ndogo ndogo.

kama hawezi biashara

ufugaji na kilimo.

kama hawezi ufugaji
afanye anachoweza kadiri ya kipaji chake ili KUONGEZA KIPATO CHA FAMILIA.

Wengi wetu sisi wanaume uwezo wetu ni wa chini..mkisaidiana katika familia kiuchumi inapunguza ukali wa maisha..

hata KIDUKA CHA MANGI hapo nyumbani afanye shughuli yoyote halali itakayochangia PATO LA KAYA
 
Mwanamke ili awe smart, classy lzm awe na mpunga wake mwenyewe ama ahongwe, au achune

Ila ulichoandika na uhalisia ni ngumu sana kuwapata hao wanawake walio na mpunga huku akuskilize ni mtihani kidogo,

Binafsi sijui Ila nataka viing'aavyo
 
Back
Top Bottom