Kudumisha mahusiano na mwanamke asie na hela ni gharama zaidi ya kununua

Kudumisha mahusiano na mwanamke asie na hela ni gharama zaidi ya kununua

Nasemea soko Tayana, soko! Market value ya binti wa 25yrs sio sawa na ya mwanamke wa 40yrs. Ili ujue hilo, pigana chini na huyo uliyenae saivi, subiri uone kama atakayekuja tena atakujaje!!
Hahaha🤪
Yaani niachane na mume??
Ila soko lipo tu
 
Na ndo wanaongoza kwa kuliwa nje ...both iwe kaajiriwa au anafanya bness
Ni kuomba Mungu tu
Mi nina mtizamo tofauti, ntaweza ku-date na broke girl. Sababu mwanamke anaeza akawa broke ila akawa na mchango mkubwa sana kwenye maisha yangu kuliko mwanamke mwenye mshahara mzuri alieajiriwa KPMG, deloitee, bot, ggm

Mdada anaeza akawa broke ila akawa analeta kwenye maisha yangu companionship, peace, friendship, & partnership

Mdada anaeza akawa yuko vizuri kipesa, ila hana analotoa zaidi ya k na stress, whilst she doesn't give a rat ass about who you're as a human being, your fears, your vision etc

Hapo binafsi nachagua broke girl Tayana-wog
 
Na mi ndo nakwambia
Wote hao watafuatwa na wanaume wenye pesa ...tena vzr sn🤣🤣inategemea tu namna ulivyojiweka ht km.upo broke..

Jmn mbona tunatunzwa vzr sn
Kila unachotaka unapewa ...mengine hatuwezi weka hadharani
Acha kubisha mambo ambayo yapo wazi. Demand ya mwanamke ambae yupo kwenye prime yake na ambaye yupo kwenye declining phase ya ubora wake ni tofauti sokoni. Kwanza huyo ambaye tayari umri ushaenda wanaume ambao wapo kwenye age bracket yake tayari washaoa.
 
Kilichoharibu mentality za wanaume wengi siku hizi kwenye swala la kuprovide ni:-

Wanaume wengi wana provide for wrong type of women, ndo maana baadae jamii ikaja na misemo k.v mchumba hasomeshwi, simp, n.k

Kingine ku provide sio guarantee ya successful relationship, unamhudumia mdada, anaenda kutoa confession kwa raphee kule insta kua unamhudumia kila kitu, huna shida ya kitabia ila una sura mbaya, anajilazimisha ku sex na wewe.. anaona aibu kukutambulisha etc Rebeca 83 Makiwendo Joanah ephen_ ShesRise_1 Carleen
Wrong type of women???ndio wapi hao?! Iweje wanaume wote mnafall to wrong type of women?!

Huko insta pages ni percentage gani ya wanawake wanapita hizo page per population? Mpaka useme hili ni tatizo???...
 
Wrong type of women???ndio wapi hao?! Iweje wanaume wote mnafall to wrong type of women?!

Huko insta pages ni percentage gani ya wanawake wanapita hizo page per population? Mpaka useme hili ni tatizo???...
Sijasema wanaume wote Wana fall for wrong type of women ila wengi tunafall for wrong type of women.

Ipo hivyo sababu hatumshirikishi Mungu na Kuna ile nature ya unaempenda hakupendi, usiempenda ndo anakupenda.

Percent ya wanawake wanaoingia insta siijui, ila hata wewe angalia kwenye circle yako wadada wangapi wako kwenye healthy relationship wengi wamejiegesha mahali kwa vile wameshindwa kupata first choice zao, au aidha wapo kwenye izo relationship kwa ajili ya kuhudumiwa.. Rebeca 83
 
Eeh hapo umenena ndugu, kweli mahusiano na mwanamke asiye na kitu ni kama unafungua biashara ya kumpa kila kitu, lakini ukimpa mwenye kitu anajua thamani
 
Back
Top Bottom