Kudumisha mahusiano na mwanamke asie na hela ni gharama zaidi ya kununua

Kudumisha mahusiano na mwanamke asie na hela ni gharama zaidi ya kununua

Halafu kwa nini mabinti wasiombe hizi pesa kwa baba na kaka zao badala yake wanaomba kwa boyfriends/ wapenzi??
Swali zuri sana. Kama kiwango cha wanawake tegemezi ni kikubwa zaidi hapa nchini, kwanini wasiwe wanaomba hela kwa baba na kaka zao?
 
huwa navimba, nakuwa jasiri balaa..!🙌🏾
huwa nawatishia jinsia ya kiume kuwa nitawavuruga vibaya mno,
deep down hata ngumi siwezi kukunja..!😂
Hebu log out hapo chap...
Sipo tayari kusoma nitakachokutana nacho...
Maana haya masaa si salama na hizi Weekend😅
 
Mpaka pale gap kati ya wanaume na wanawake katika education and employment opportunities litakapofungwa ndio mtaanza kuona wanawake wasio tegemezi( slowly tunaelekea huko). By the way hili la mwanaume ku provide limekuwa kama trait. Zamani males walikuwa aggressive kuonyesha dominance ili kuwavuta wanawake sababu dominance ilikuwa associated na resources control/security ila men in modern era wanaonyesha dominance kwa ku spend cash...vitu km hivi ndio vina create dhana mwanamke ni wa kupokea.....

Vitu vingine visikuumize kichwa, viko wired deeply in the society, leo ukipeleka mwanaume home kitu kinachoangaliwa kwanza ni uchumi wake, kama anaweza ku provide kwa mtoto wao..kutokua vizuri kiuchumi ni sign ya weakness....hata kama mwanamke ana kipato kukubwa bado inakua expected mwanaume kuwa na kipato zaidi..jiulize why????

Ndio maana nakubaliana na @siner saved by christ, kama una struggle financially muwezeshe mwenzio..rather than complaining....modern economies zina demand wote tuwe provider ila kama mkeo unfortunately hakupata hio nafasi muwezeshe kwanza.....ila mjue hizo mindset zetu za kugaiwa tu kubadilisha won't be overnight...lol
Kilichoharibu mentality za wanaume wengi siku hizi kwenye swala la kuprovide ni:-

Wanaume wengi wana provide for wrong type of women, ndo maana baadae jamii ikaja na misemo k.v mchumba hasomeshwi, simp, n.k

Kingine ku provide sio guarantee ya successful relationship, unamhudumia mdada, anaenda kutoa confession kwa raphee kule insta kua unamhudumia kila kitu, huna shida ya kitabia ila una sura mbaya, anajilazimisha ku sex na wewe.. anaona aibu kukutambulisha etc Rebeca 83 Makiwendo Joanah ephen_ ShesRise_1 Carleen
 
Muhimu ni kila moja atoke atafute, ili utegemezi usiwe 100% kwa sababu mwanaume naturally lazima umpe mwanamke, awe nayo au aside nayo lazima utampa tu.

Ambacho najifunza, wanaume nao kwa sasa nanga inapaa, hawana hela, wanaunga sana, so kulalamika lazima.
 
Ambacho najifunza, wanaume nao kwa sasa nanga inapaa, hawana hela, wanaunga sana, so kulalamika lazima
Wanaume uvivu na Ukata wamekuwa wakali Sana.

Ukitaka mapenzi Mke wako asishinde kwenye jua na maporini hata kuoga kwake mtihani. Mimi ngoja Nile maisha na wake zangu Tu nitakula hiki hiki ila siruhusu wake zangu kushinda wanapuyanga kuuza mitumba🤣🤣
 
It will cost you more to be in relationship with a broke woman than to pay for sex.

Wadogo zangu na vijana wenzangu leo sina mengi ya kuandika.
😅😅 hata mwanamke ambae katanguliza shida zake mbele kuliko jambo lolote.Aisee ni wa kumktenga hadi amalizane na matatizo yake kwanza
 
Wanaume uvivu na Ukata wamekuwa wakali Sana.

Ukitaka mapenzi Mke wako asishinde kwenye jua na maporini hata kuoga kwake mtihani. Mimi ngoja Nile maisha na wake zangu Tu nitakula hiki hiki ila siruhusu wake zangu kushinda wanapuyanga kuuza mitumba🤣🤣
Hakkkisha uwekezaji wako unakuwa wa kIwango kikubwa, siku ukiwa haupo duniani waweze kujihudumia maana hili nalo ni janga, baba anakufa mke hajui hata kuuza nyanya, anaishia kuwa mjane masikini.

Dunia ime-ecolve sana, zama za kujifungia ndani kusubiri hadi chumvi zimeisha, watu watafute pesa kwa namna yoyote ile.
 
Muhimu ni kila moja atoke atafute, ili utegemezi usiwe 100% kwa sababu mwanaume naturally lazima umpe mwanamke, awe nayo au aside nayo lazima utampa tu.

Ambacho najifunza, wanaume nao kwa sasa nanga inapaa, hawana hela, wanaunga sana, so kulalamika lazima.
Yap, kundi la wanaume wasiokua na hela ni lazima liongeze. Hatuwezi kuwajumuisha wanawake kwenye uchumi wakati fursa ni almost zilezile halafu tuatarajie namba ya wanaume ibaki constant. Lazima kuna idadi ya wanaume itaenguliwa ili kupisha wanawake. Tunapoelekea itawalazimu wanawake nao ku-normalize suala la kusettle na mwanaume ambae wamemzidi kipato au hana kipato kabisa, kwa sasa ni ngumu sana wao kukubali hilo suala lakini idadi ya wanaume wasioweza kuhudumia mwanamke inavyoongezeka na wanaaake nao watakuja kuelewa.
 
😅😅 hata mwanamke ambae katanguliza shida zake mbele kuliko jambo lolote.Aisee ni wa kumktenga hadi amalizane na matatizo yake kwanza
Hakuna haja ya kujipa umuhimu kwenye maisha ya mtu. Ukifa leo ataendelea kuishi tu
 
  • Love
Reactions: Oho
Back
Top Bottom