secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Usinikumbushe Ile topu Lea. Kipindi hakijaisha Mimi nimeshashuka na kontena langu 😂.Hajambo shoo, tooopuu leeeeaaah ya moto bado
Usinikumbushe Ile topu Lea. Kipindi hakijaisha Mimi nimeshashuka na kontena langu 😂.Hajambo shoo, tooopuu leeeeaaah ya moto bado
Ahudumiwe kwani ni mlemavu au mtoto yatima.! Yeye ana-compensate hizo gharama na nini?Inafikirisha! Navyofahamu wanawake wamejiweka katika nafasi ya kuhudumiwa kikawaida. Itatofautiana gharama tu.
Apart from wanyang'anyi na chuna buzi wapo wanawake wema tu ni vile wanaume tukimpata tunamchukulia poa na mara nyingi hatudumu nae.
Sio kweli kabisaMleta mada kakusonya kwa hasira.
Anapenda akileta mada kama hii basi comments ziwe za kushambulia wanawake.
Unakuta siku ya nyama special grupu tushatia timu mapemaUsinikumbushe Ile topu Lea. Kipindi hakijaisha Mimi nimeshashuka na kontena langu 😂.
Mwisho wa yote ni kwamba, directly au indirectly utauziwa tuWapo wanawake hawahitaji hata pesa sema Utajistukia mwenyewe imesha kuwa kama nature ukiwa na mwanamke kimahusiano lazma umuhudumie
Oyaaa! nyama ya pale ni noma. Kwanza mfuko unaotumika kubebea ukiuona unachoka 😂.Unakuta siku ya nyama special grupu tushatia timu mapema
Mwanamke mwenye hela ni expensive zaidi kuishi naye kuliko maskini.It will cost you more to be in relationship with a broke woman than to pay for sex.
Wadogo zangu na vijana wenzangu leo sina mengi ya kuandika.
Huu ni wajibu wa wazazi wakekama hana ujuzi mpeleke shule apate ujuzi,kama hana ajira rasmi mtafutie ajira zisizo rasmi kadiri ya ujuzi wake.
kama hana vyote ..mpe mtaji wa biashara..mfungulie biashara ndogo ndogo.
kama hawezi biashara
ufugaji na kilimo.
kama hawezi ufugaji
afanye anachoweza kadiri ya kipaji chake
hakuna anayekulazmishia tu nafanyaga kwa upendo wetu wenyeweAchana na mambo ya zawadi, kama ni zawadi hata yeye atakupa t shirt la elfu 15 kwenye birthday yako. Hapa tunazungumzia mwanaume tena kijana anayejitafuta kumlisha, kumlipia kodi, kumvalisha, kumnunulia gesi, kumnunulia vocha na simu girlfriend ambaye na yeye anaweza kufanya kazi kujihudumia mwenyewe.
Sasa mkuu, kujua sio mtupu kichwani si ndo umkute angalao kuna kitu ameshaanza kukifanya. Umkute angalao mahitaji yake ya muhimu anajimuduBora awe broke lakini sio mtupu kichwani
Akiwa broke na mtupu kichwani hapo ndo changamoto kubwa, maana hawezi hata kukupa ushauri wa kinamna yoyote zaidi ya kukuomba hela. All she can provide ni punani tu.
Sasa mkuu, kujua sio mtupu kichwani si ndo umkute angalao kuna kitu ameshaanza kukifanya. Umkute angalao mahitaji yake ya muhimu anajimuduBora awe broke lakini sio mtupu kichwani
Akiwa broke na mtupu kichwani hapo ndo changamoto kubwa, maana hawezi hata kukupa ushauri wa kinamna yoyote zaidi ya kukuomba hela. All she can provide ni punani tu.
naendelea vyema bro la ma bro..!Oooooooh Broh!!!
Missing you big time....
Unaendeleaje?
Namshukuru Mungu mdogo wangu mzuri..!😍Naendelea vizuri my beautiful sis, hope all is well hapo ulipo ❤
huo unakuwa ni ubinafsi uliopitiliza, hakuna siku kwani huyo baba anakwama..!??Imagine sis!
Kila siku anayejikuna ni mmoja tu
Si ni mateso hayo?
Gharama za ku-maintain mahusiano na mwanamke asiye kuwa na hela ni kubwa kwa sababu utabebeshwa matarajio ya kumuhudumiwa mahitaji yake na kuboresha maisha yake. In return ushirika wake yeye kwenye hayo mahusiano ni tendo la sex, ambalo ukienda kulipia kwa demu anaeuza unamaliza haja zako unamlipa hela yake asubuhi kila mtu anachukua njia yake. Kesho na kesho kutwa akitaka hela ya kusuka, gesi, keki ya birthday n.k hayo hayakuhusu kwa sababu siku mliyolala pamoja ulishamlipa hela mliyokubaliana mkamalizanaMkuuu tafadhali fafanuaa