Kudumisha mahusiano na mwanamke asie na hela ni gharama zaidi ya kununua

Mpaka pale gap kati ya wanaume na wanawake katika education and employment opportunities litakapofungwa ndio mtaanza kuona wanawake wasio tegemezi( slowly tunaelekea huko). By the way hili la mwanaume ku provide limekuwa kama trait. Zamani males walikuwa aggressive kuonyesha dominance ili kuwavuta wanawake sababu dominance ilikuwa associated na resources control/security ila men in modern era wanaonyesha dominance kwa ku spend cash...vitu km hivi ndio vina create dhana mwanamke ni wa kupokea.....

Vitu vingine visikuumize kichwa, viko wired deeply in the society, leo ukipeleka mwanaume home kitu kinachoangaliwa kwanza ni uchumi wake, kama anaweza ku provide kwa mtoto wao..kutokua vizuri kiuchumi ni sign ya weakness....hata kama mwanamke ana kipato kukubwa bado inakua expected mwanaume kuwa na kipato zaidi..jiulize why????

Ndio maana nakubaliana na @siner saved by christ, kama una struggle financially muwezeshe mwenzio..rather than complaining....modern economies zina demand wote tuwe provider ila kama mkeo unfortunately hakupata hio nafasi muwezeshe kwanza.....ila mjue hizo mindset zetu za kugaiwa tu kubadilisha won't be overnight...lol
Unachosema ni sahihi kwa kiasi kikubwa ila pia kuna wanawake wengi sana hasa mabinti wa mjini ombaomba sio hata kwa mahitaji maalumu bali ni kwa ajili ya vitu visivyo vya lazima kama vile kununua mawigi, Rasta na expensive hairstyles, iPhones, mikoba ghali, kunywa bruto n.k

Halafu kwa nini mabinti wasiombe hizi pesa kwa baba na kaka zao badala yake wanaomba kwa boyfriends/ wapenzi??
 
😅😅😅😅😅
Unawaachia Sasa wanaoziweza hizi mambo.
Mwanamke kulelewa jamani.
Mwanamke anatakiwa kuwa na wanaume wawili. Waziri wa fedha na waziri wa mambo ya ndani. Kwahiyo tutagawana majukumu hapo
 
Mwanamke mwenye hela ni expensive zaidi kuishi naye kuliko maskini.

Utaweza kusurvive vizinga vingapi vya kodi ya mzigo uliokwamba bandarini ?
Utatoboa marejesho mangapi ya kikoba cha rejesho la milioni kumi per week ?
Mfuko wako utaweza kusurvive DORIME za kujaza Fridge ?
Sasa hela zake ni za nini?
 
Mpaka pale gap kati ya wanaume na wanawake katika education and employment opportunities litakapofungwa ndio mtaanza kuona wanawake wasio tegemezi( slowly tunaelekea huko). By the way hili la mwanaume ku provide limekuwa kama trait. Zamani males walikuwa aggressive kuonyesha dominance ili kuwavuta wanawake sababu dominance ilikuwa associated na resources control/security ila men in modern era wanaonyesha dominance kwa ku spend cash...vitu km hivi ndio vina create dhana mwanamke ni wa kupokea.....

Vitu vingine visikuumize kichwa, viko wired deeply in the society, leo ukipeleka mwanaume home kitu kinachoangaliwa kwanza ni uchumi wake, kama anaweza ku provide kwa mtoto wao..kutokua vizuri kiuchumi ni sign ya weakness....hata kama mwanamke ana kipato kukubwa bado inakua expected mwanaume kuwa na kipato zaidi..jiulize why????

Ndio maana nakubaliana na @siner saved by christ, kama una struggle financially muwezeshe mwenzio..rather than complaining....modern economies zina demand wote tuwe provider ila kama mkeo unfortunately hakupata hio nafasi muwezeshe kwanza.....ila mjue hizo mindset zetu za kugaiwa tu kubadilisha won't be overnight...lol
Basi tutanunua maana wa kuhudumiwa na wanaouza wanataka kile kile na wanatoa kile kile
 
Halafu kwa nini mabinti wasiombe hizi pesa kwa baba na kaka zao badala yake wanaomba kwa boyfriends/ wapenzi??
Swali zuri sana. Kama kiwango cha wanawake tegemezi ni kikubwa zaidi hapa nchini, kwanini wasiwe wanaomba hela kwa baba na kaka zao?
 
Kuoa au kuwa na mwanamke ambae hana doo sio issue.

Issue inakuja hana doo na bado ni msumbufu.

Mimi sihitaji kingine kwa mwanamke zaidi ya feminine energy... Inibalance sio na toka kazini nakuta jike lenye magamba ya dume
 
Back
Top Bottom