Kudumisha mahusiano na mwanamke asie na hela ni gharama zaidi ya kununua

Kudumisha mahusiano na mwanamke asie na hela ni gharama zaidi ya kununua

mwanamke hata akiwa napesa kukuzidi lakni mwanaume lazma atimize majukumu yake ndio maana hata ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke mwenye gari unaweza ukampa zawadi ya t shert la elf 15 akafurahi na kukuona wa thaman
Achana na mambo ya zawadi, kama ni zawadi hata yeye atakupa t shirt la elfu 15 kwenye birthday yako. Hapa tunazungumzia mwanaume tena kijana anayejitafuta kumlisha, kumlipia kodi, kumvalisha, kumnunulia gesi, kumnunulia vocha na simu girlfriend ambaye na yeye anaweza kufanya kazi kujihudumia mwenyewe.
 
Ni sahihi, sio sawa mtu kuwa mzigo wa mwingine, kila mtu kwenye mahusiano ni lazima awe anaweza kujihudumia kwa kiasi kikubwa mwenyewe, kusaidiwa na boyfriend au girlfriend iwe nadra sana pale ambapo hakuna namna nyingine.

Na kusaidiwa isiegemee sana upande mmoja

Kila mmoja ajitoe kwenye mawili matatu(hii ni kwa jinsia ke inayokariri kwamba ni lazima yeye apokee kila siku)
 
Back
Top Bottom