Kua kwanza utaona kijana wangu. Wazee wako tunayajua mengi ila tumetulia tu!Mwanamke ili awe smart, classy lzm awe na mpunga wake mwenyewe ama ahongwe, au achune
Ila ulichoandika na uhalisia ni ngumu sana kuwapata hao wanawake walio na mpunga huku akuskilize ni mtihani kidogo,
Binafsi sijui Ila nataka viing'aavyo
🤣🤣🤣Mleta mada kakusonya kwa hasira.
Anapenda akileta mada kama hii basi comments ziwe za kushambulia wanawake.
📌Honestly kuwa na mtu ambaye hana hela kabisa ni mzigo
Sio kweli, sio kwa Mwanamke usidanganyike, unless we ni mgeni
kwamba upokee tu bila wewe kujiongeza kwa lolote.!??
aiseeh’ siwezi na hicho kikombe kiniepuke..!!🙌🏾
Nimekumiss pia bro sana walaqhi’..!
unaendeleaje eti?
Parasites !Wanawake wa sikuhizi hawana faida..ni kupe
Wazeee wa hovyo kutokeaKua kwanza utaona kijana wangu. Wazee wako tunayajua mengi ila tumetulia tu!
HahahaIla watu kama nyie mnanishangazaga
Haya,hebu nifahamishe wewe mwenyeji....mimi ni mgeni kivipi?
Tulizaliwa katika enzi za giza. Ninyi vijana mna kila kitu, lakini bado humuelewi la kufanya.Wazeee wa hovyo kutokea
Oooooooh Broh!!!hey bro Mackie,
I miss you..!
AshuoTulizaliwa katika enzi za giza. Ninyi vijana mna kila kitu, lakini bado humuelewi la kufanya.
Bure kabisa!
Missing you too Jo.😄Bro nimekumis wewe na bro ako Mackie 😂
Muzee shoo hajambo hapo kibosho?Ashuo
Hajambo shoo, tooopuu leeeeaaah ya moto badoMuzee shoo hajambo hapo kibosho?
Kwanza nani kasema sisi tuna hela?😅😅😅😅😅
Unawaachia Sasa wanaoziweza hizi mambo.
Mwanamke kulelewa jamani.
Sasa mtaishije.Honestly kuwa na mtu ambaye hana hela kabisa ni mzigo