Kwahiyo mi na wewe leo naomba tu-conclude kuwa mapenzi ni myth !Sababu zote mbili zinaweza kuwa majibu sahihi. Lakini haondoi ukweli kwamba kadili soko la mwanamke linavyoshuka na entitlements zinapungua.
pisi kali nimetoa kama mfano mmoja wapo ambao unampa mwanamke options. Nilichotaka kumaanisha mwanamke akiwa na option nyingi ataenda na highest bidder. Dhana ya kusema anamvumilia mwanaume au wanaanza pamoja kuanzia chini ni utapeli. Ukweli ni kwamba yupo na huyo mwanaume kwa sababu kuu mbili. Kwanza mwanamke na yeye pia ni masikini. Pili kwa wakati huo hana option bora zaidi.
Kwa hiyo nini kifanyike?It will cost you more to be in relationship with a broke woman than to pay for sex.
Wadogo zangu na vijana wenzangu leo sina mengi ya kuandika.
Kusema walianza 0 pamoja hii kitu sio kweli. Lazima kuna traits za mafanikio ambazo kila mmoja aliziona kwa mwenzake. Mfano umekutana na mwanaume amemaliza chuo anatafuta kazi. Bado yupo mtaani hana hela mkaanza mahusiano yenu na baadae akapata kazi. Unaweza kusema umeanza nae pamoja wakati ulimkuta tayari ashasoma? Wanawake huwa mnadandia gari katikati ya safari mkiwa tayari mshapiga hesabu hapa kutakua na destination njemaKwahiyo mi na wewe leo naomba tu-conclude kuwa mapenzi ni myth !
Kwasababu completely huwapi grace wale ambao kwa namna moja au nyingine walianzia 0 pamoja. Which ni wengi tunaishi nao mitaani.
Kwa kauli yako unajua unachokijustify?
Kusema walianza 0 pamoja hii kitu sio kweli. Lazima kuna traits za mafanikio ambazo kila mmoja aliziona kwa mwenzake. Mfano umekutana na mwanaume amemaliza chuo anatafuta kazi. Bado yupo mtaani hana hela mkaanza mahusiano yenu na baadae akapata kazi. Unaweza kusema umeanza nae pamoja wakati ulimkuta tayari ashasoma?
perfect, kwahiyo mapenzi kwako wewe ni myth? hayapo? hadi yawe na hizo conditions?Dating market ni kama trade tu ambayo kila mmoja anakua na nguvu zaidi kutegemeana na advantages alizonazo. Advantages za kumpa nguvu mwanaume ni finance and stability. Advantages za kumpa nguvu mwanamke ni purity and loyalty.
Kama hana tangible contributions za kuja nazo kwenye mahusiano ni bora ununue tu.Kwa hiyo nini kifanyike?
Kusema kuanza pamoja unakosea. Labda useme umkute mwanaume akiwa bado yupo kwenye building stages. Lazima kuna traits utamkuta nazo kama elimu, nidhamu ya kufanya kazi n.k ambazo tayari alikua nazo kabla hamjakutana. Hata kama mwanaume bado hajasimama huwa mnapiga calculation zenu kwanza kupata picha future yake itakuweje ndio mnajiwekaAcha kuhamisha magoli bana, 0 we hujui maana yake? kwahiyo ulitaka amkute kabla hajasoma, unamaanisha alitakuwa amzae? (excuse my sarcasm)
Mapenzi yapo. Inawezekana kabisa mtu kupenda. Lakini mambo ni mengi.. unaempenda hakupendi, anaekupenda haumpendi, mara dini tofauti ndugu wamekataa mahusiano yenu n.k. Mwisho wa siku kila mmoja atumie tu advantages mambo yaishe.perfect, kwahiyo mapenzi kwako wewe ni myth? hayapo? hadi yawe na hizo conditions?
Haahaa umenikumbusha mbaaali sana we jamaa. TeheteheMleta mada ni kama unanisema mimi, lakini niliona huu upuuzi nikakata kamba. Fikria mtu hata ukimuita sehemu,hata boda ya buku 2 hawezi kulipa. Akifika anakuita uje kulipa.
Kwani mwanamke mwenye biashara au kazi yake hahitaji kuolewa?Mwanamke mwenye biashara yake tayari anakutaka wewe?
Mnakwepa kujengana eenhe ..!
Thank uEven if She is not broke you still have to provide as well
Yeah, mwanamke aliyepo kwenye prime yake ana options ñyingi kulinganisha na ambaye umri umekata kidogo. Huyu ambaye yupo late thirties kwenda forty lazima nae awe na kitu cha kuonyesha ili akubalike, otherwise nae anahaha kupata mwanaume tu.Unamwongelea mwanamke ambae tayari ashapita prime years. Kuna umri ukifika kuanzia middle 30's uko hata mwanamke pia utatakiwa kutoa hela kupata mume kwa sababu zile factors zilizokupa thamani kwenye prime yako kama purity, innocence, youthfulness n.k hauna tena.
Hawa ambao bado wapo kwenye prime zao wanauza. Tofauti ya uuzaji wao ni wengine difectly na wengine indirectly. Mwanamke yupo kwsnye prime yake ana option kibao halafu akubali kusettle na broke man thubutuuuu...
Ila coca🤣🤣Honestly, kutokua na Hela ni tatizo hata thamani ya mahusiano huioni wala huipati.
Mkiwa mna jiweza wote, kwanza ni full raha, hakuna kero za kiwaki.
HELA itafutwe kwa udi na uvumba. Na IPATIKANE.
Mindset zao zimehamia kwenye pesaOA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
b. yake ASIWE MAMA WA NYUMBANI kama hana ujuzi mpeleke shule apate ujuzi,kama hana ajira rasmi mtafutie ajira zisizo rasmi kadiri ya ujuzi wake.
kama hana vyote ..mpe mtaji wa biashara..mfungulie biashara ndogo ndogo.
kama hawezi biashara
ufugaji na kilimo.
kama hawezi ufugaji
afanye anachoweza kadiri ya kipaji chake ili KUONGEZA KIPATO CHA FAMILIA.
Wengi wetu sisi wanaume uwezo wetu ni wa chini..mkisaidiana katika familia kiuchumi inapunguza ukali wa maisha..
hata KIDUKA CHA MANGI hapo nyumbani afanye shughuli yoyote halali itakayochangia PATO LA KAYA
Mmekariri 🤣🤣 hakuna lolote, ni namna tu umejiweka na kujitunza...wanaume watakuja wa age yako kibao tu!Yeah, mwanamke aliyepo kwenye prime yake ana options ñyingi kulinganisha na ambaye umri umekata kidogo. Huyu ambaye yupo late thirties kwenda forty lazima nae awe na kitu cha kuonyesha ili akubalike, otherwise nae anahaha kupata mwanaume tu.
Na ndo wanaongoza kwa kuliwa nje ...both iwe kaajiriwa au anafanya bnessKwani mwanamke mwenye biashara au kazi yake hahitaji kuolewa?
Mimi sijakariri, huwezi kulinganisha mwanamke broke aliyeko 22-28 na broke aliyeko 36-45 mkuu, masoko yao ya mahusiano ni tofauti kabisa, demand ni tofauti kabisa!Mmekariri 🤣🤣 hakuna lolote, ni namna tu umejiweka na kujitunza...wanaume watakuja wa age yako kibao tu!
Huo umri mnaouongelea una akili ya ku spend
Halafu kuna huo unaosema
Na mi ndo nakwambiaMimi sijakariri, huwezi kulinganisha mwanamke broke aliyeko 22-28 na broke aliyeko 36-45 mkuu, masoko yao ya mahusiano ni tofauti kabisa, demand ni tofauti kabisa!
Nasemea soko Tayana, soko! Market value ya binti wa 25yrs sio sawa na ya mwanamke wa 40yrs. Ili ujue hilo, pigana chini na huyo uliyenae saivi, subiri uone kama atakayekuja tena atakujaje!!Na mi ndo nakwambia
Wote hao watafuatwa na wanaume wenye pesa ...tena vzr sn🤣🤣inategemea tu namna ulivyojiweka ht km.upo broke..
Jmn mbona tunatunzwa vzr sn
Kila unachotaka unapewa ...mengine hatuwezi weka hadharani
Thank you 🤝🤝Hatuhitaji kutoa hela kupata mume, if at all tunamuhitaji huyo mume, tunatakiwa kuwa independent kupata mume of which ndio agenda yenu ya kila siku? Independent haipatikani katika age ya 20’s as far a 3rd world countries are concerned.
Nitakukubalia ili tusiende mbali, lakini huu ni uongo wako mwingine, Kwamba hakuna watu wanaanzia mahusiano chini? mitaani, chuoni etc? Au labda unaongelea wanawake wa aina gani?
Unayachukuliaje mapenzi kwani mwenetu?