Kudumisha mahusiano na mwanamke asie na hela ni gharama zaidi ya kununua

Kwani uhusiano ni pesa, hakuna pesa hakuna mahusiano, mbona kama tunazipa kipaumbele pesa, vyovyote vile, kila mtu anachaguo lake
 
Unachosema ni sahihi kwa kiasi kikubwa ila pia kuna wanawake wengi sana hasa mabinti wa mjini ombaomba sio hata kwa mahitaji maalumu bali ni kwa ajili ya vitu visivyo vya lazima kama vile kununua mawigi, Rasta na expensive hairstyles, iPhones, mikoba ghali, kunywa bruto n.k

Halafu kwa nini mabinti wasiombe hizi pesa kwa baba na kaka zao badala yake wanaomba kwa boyfriends/ wapenzi??
Kwasababu baba na kaka zetu wanawapa wanawake wengine ambao ni dada zenu, haya mambo ni kamzunguko 😂
 
Muhimu ni kila moja atoke atafute, ili utegemezi usiwe 100% kwa sababu mwanaume naturally lazima umpe mwanamke, awe nayo au aside nayo lazima utampa tu.

Ambacho najifunza, wanaume nao kwa sasa nanga inapaa, hawana hela, wanaunga sana, so kulalamika lazima.
Sijajua kwanini neno “nanga inapaa linanichekesha sana” 😂 mind you sijawahi ona nanga ina paa.
 
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA

b. yake ASIWE MAMA WA NYUMBANI kama hana ujuzi mpeleke shule apate ujuzi,kama hana ajira rasmi mtafutie ajira zisizo rasmi kadiri ya ujuzi wake.

kama hana vyote ..mpe mtaji wa biashara..mfungulie biashara ndogo ndogo.

kama hawezi biashara

ufugaji na kilimo.

kama hawezi ufugaji
afanye anachoweza kadiri ya kipaji chake ili KUONGEZA KIPATO CHA FAMILIA.

Wengi wetu sisi wanaume uwezo wetu ni wa chini..mkisaidiana katika familia kiuchumi inapunguza ukali wa maisha..

hata KIDUKA CHA MANGI hapo nyumbani afanye shughuli yoyote halali itakayochangia PATO LA KAYA
Kwenye kumfungulia biashara utapoteza hela zako tu
Oa mwanamke mwenye biashara yake tayari
 
Yap, kundi la wanaume wasiokua na hela ni lazima liongeze. Hatuwezi kuwajumuisha wanawake kwenye uchumi wakati fursa ni almost zilezile halafu tuatarajie namba ya wanaume ibaki constant. Lazima kuna idadi ya wanaume itaenguliwa ili kupisha wanawake. Tunapoelekea itawalazimu wanawake nao ku-normalize suala la kusettle na mwanaume ambae wamemzidi kipato au hana kipato kabisa, kwa sasa ni ngumu sana wao kukubali hilo suala lakini idadi ya wanaume wasioweza kuhudumia mwanamke inavyoongezeka na wanaaake nao watakuja kuelewa.
Huwa unadhani wanawake hawawezi kusettle na wanaume ambao hawana kipato/wanaojitafuta? Kwa dunia ya tatu ambao umasikini ni wimbo wa kila siku?Unadanganya….

Baadae nilikuja kuchunguza kwanini worthy ya mwanaume ilikuwa attached na materials, na ni kwanini wanawake walikubaliana “isivyo rasmi” bora kuwa na mtu mwenye material na si kinyume chake. Hii haihusiani na mwanamke kuwa a gold digger hata kidogo, bali inahusiana na mwanaume kile anachoweza kuoffer kwenye mahusiano, men are not accommodating, are not nurturing, are not caring , ukimwambia mwanaume wako naumwa baada ya nusu saa anaweza hata kuwa amesahau kuwa unaumwa, mtu kama huyu ili awe useful anapaswa awe na kitu cha ziada cha kuoffer -PESA. Labda kwa mfano wangu itakusaidia kujiendea hospital, kujiwekea a nanny wa kukupa chakula cha moto etc.

Hear me out again, huku nje wanawake wapo tayari kudate na mwanaume yeyote as long as anaonesha nia ya dhati yakutaka kuwa na ke husika, shida ilianzia wapi? Relationship wise wanawake walikuja kugundua wanaume wana 0 character kama kete muhimu ya mahusiano, We mwenyewe ni shahidi wa namna gani mtoto wa kike akilelewa anasisitizwa tabia njema, wakati mtoto wa kiume sometimes anasifiwa kuwa na tabia mbaya. (Malice & umalaya) Sasa mtu ambaye ana zero character apendewe nini kingine? Hapo ndipo inakuja compensation ya pesa kukamilisha kigezo cha “ kutakwa” as a matter of fact most men are ugly asf! Like yall are not beautiful hamna boobs hamna matako mazuri mpo mpo tu, sasa mpendewe nini jamani 🤣mtu hauwezi kupendwa tu sababu eti we ni mwanaume, lazima uwe na cha ziada, kama mmeamua kuondoa pesa kama kigezo kikuu, fanyieni kazi character zenu, may be.. by may i mean may be mtameet- somewhere kwenye kigezo kimojawapo na wanawake.

Tena kuna muda mi naona mshukuru kupendewa pesa may be it’s the only thing mnachoweza ku-offer na ni rahisi ku-offer, nikikudai character utanipa? utatoa wapi wakati umekuwa raised ndivyo sivyo.

Humu kulikuwa na mtu zamani anaitwa Lara1, alikuwa na msemo wake, whatever you lack in looks compensate with character and whatever you lack in character compensate it with money … Huu msemo ni valid 100, wanaume looks inawakataa, character inawakataa , mmebaki na nini?

And so ofcoz kama hela pia imekataa na sex ni hitaji, basi kununua ndio only option. Tena kwa Tz sex bado bei rahisi nasikia hadi buku 😂 WaTz wanaoenda kusoma nje (hawajajipata wanasema sex huko hainuniliki) like nitoe dola 200-1000 kununua sex tu? nope tuendelee kuomba umasikini uzidi Tz ili muendelee kupata sex kwa bei rahisi.

Na pia mnajua kwanini wanawake wenye hela hawahitaji wanaume? “mostly” Hii conversation mmeiflip kwa faida yenu najua….

Mpaka leo wanaume hamuelewi, na hamuonekani kuelewa kwanini thamani yenu imewekwa kwenye pesa pekee. (makubaliano ya jamii enzi hizo) a.k.a social construct, to deconstruct niliyosema huko juu.
 
Huwa unadhani wanawake hawawezi kusettle na wanaume ambao hawana kipato/wanajitafuta? Kwa dunia ya tatu ambao umasikini ni wimbo wa kila siku?Unadanganya….

Baadae nilikuja kuchunguza kwanini worthy ya mwanaume ilikuwa attached na materials, na ni kwanini wanawake walikubaliana “isivyo rasmi” bora kuwa na mtu mwenye material na si kinyume chake. Hii haihusiani na mwanamke kuwa a gold digger hata kidogo, bali inahusiana na mwanaume kile anachoweza kuoffer kwenye mahusiano, men are not accommodating, are not nurturing, are not caring , ukimwambia mwanaume wako naumwa baada ya nusu saa anaweza hata kuwa amesahau kuwa unaumwa, mtu kama huyu ili awe useful anapaswa awe na kitu cha ziada cha kuoffer -PESA. Labda kwa mfano wangu itakuwasaidia kujiendea hospital, kujiwekea a nanny wa kukupa chakula cha moto etc.

Hear me out again, huku nje wanawake wapo tayari kudate na mwanaume yeyote as long as anaonesha nia ya dhati yakutaka kuwa na ke husika, shida ilianzia wapi? Relationship wise wanawake walikuja kugundua wanaume wana 0 character kama kete muhimu ya mahusiano, We mwenyewe ni shahidi wa namna gani mtoto wa kike akilelewa anasisitizwa tabia njema, wakati mtoto wa kiume sometimes anasifiwa kuwa na tabia mbaya. (Malice & umalaya) Sasa mtu ambaye ana zero character apendewe nini kingine? Hapo ndipo inakuja compensation ya pesa kukamilisha kigezo cha “ kutakwa” as a matter of fact most men are ugly asf! Like yall are not beautiful hamna boobs hamna matako mazuri mpo mpo tu, sasa mpendewe nini jamani 🤣mtu hauwezi kupendwa tu sababu eti we ni mwanaume, lazima uwe na cha ziada, kama mmeamua kuondoa pesa kama kigezo kikuu, fanyieni kazi character zenu, may be.. by may i mean may be mtameet- somewhere kwenye kigezo kimojawapo na wanawake.

Tena kuna muda mi naona mshukuru kupendewa pesa may be it’s the only thing mnachoweza ku-offer na ni rahisi ku-offer, nikikudai character utanipa? utatoa wapi wakati umekuwa raised ndivyo sivyo.

Humu kulikuwa na mtu zamani anaitwa Lara1, alikuwa na msemo wake, whatever you lack in looks compensate with character and whatever you lack in character compensate it with money … Huu msemo ni valid 100, wanaume looks inawakataa, character inawakataa , mmebaki na nini?

And so ofcoz kama hela pia imekataa na sex ni hitaji, basi kununua ndio only option. Tena kwa Tz sex bado bei rahisi nasikia hadi buku 😂 WaTz wanaoenda kusoma nje (hawajajipata wanasema sex huko hainuniliki) like nitoe dola 200-1000 kununua sex tu? nope tuendelee kuomba umasikini uzidi Tz ili muendelee kupata sex kwa bei rahisi.

Na pia mnajua kwanini wanawake wenye hela hawahitaji wanaume? “mostly” Hii conversation mmeiflip kwa faida yenu najua….

Mpaka leo wanaume hamuelewi, na hamuonekani kuelewa kwanini thamani yenu imewekwa kwenye pesa pekee. (makubaliano ya jamii enzi hizo) a.k.a social construct, to deconstruct niliyosema huko juu.
Unamwongelea mwanamke ambae tayari ashapita prime years. Kuna umri ukifika kuanzia middle 30's uko hata mwanamke pia utatakiwa kutoa hela kupata mume kwa sababu zile factors zilizokupa thamani kwenye prime yako kama purity, innocence, youthfulness n.k hauna tena.

Hawa ambao bado wapo kwenye prime zao wanauza. Tofauti ya uuzaji wao ni wengine difectly na wengine indirectly. Mwanamke yupo kwsnye prime yake ana option kibao halafu akubali kusettle na broke man thubutuuuu...
 
Hatuhitaji kutoa hela kupata mume, if at all tunamuhitaji huyo mume, tunatakiwa kuwa independent kupata mume of which ndio agenda yenu ya kila siku? Independent haipatikani katika age ya 20’s as far a 3rd world countries are concerned.

Nitakukubalia ili tusiende mbali, lakini huu ni uongo wako mwingine, Kwamba hakuna watu wanaanzia mahusiano chini? mitaani, chuoni etc? Au labda unaongelea wanawake wa aina gani?

Unayachukuliaje mapenzi kwani mwenetu?
 
Sio kutoa hela kumpa mwanaume. Naongelea kadili soko linavyoshuka entitlements nazo zinapungua. Leo mwanamke wa miaka 24 hata akiwa na kazi anaona ni wajibu kuhudumiwa na mahitaji yake na mwanaume kwa sababu anazo options. Lakini wa 35+ options zinapungua na hana tena factors za kumwezesha kupata attention ya wanaume kama alivyokua kule kwenye early 20s hapa lazima akubali na yeye kutoa hela. Masuala ya kutoka out halafu mpka usafiri akipiwe hayapo tena kwenye hii hatua

Mahusiano yanayoanzia chuoni au mtaani yapo lakini kwa kiasi kikubwa kudumu kwake yakifika huku mtaani itategemea zaidi kama mwanaume atawahi kutoboa. Mwanaume akichelewa kutoboa, wote wawili wakichelewa kutoboa au mwanamke akitoboa mapema huku mwanaume bado anaangaika kimaisha probability ya mahusiano kufa ni kubwa zaidi kuliko kudumu. Kuhusu wanawake kuanza mahusiano na mwanaume kuanzia chini mara nyingi wanawake hao wanakuaga hawana options bora zaidi ya mwanaume kwa wakati huo. Hauwezi kukuta pisi ya kiwango cha paula kajala au karen yule ex wa jux eti wanaanzia maisha na mwanaume kuuza genge mtaani
 
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA

b. yake ASIWE MAMA WA NYUMBANI kama hana ujuzi mpeleke shule apate ujuzi,kama hana ajira rasmi mtafutie ajira zisizo rasmi kadiri ya ujuzi wake.

kama hana vyote ..mpe mtaji wa biashara..mfungulie biashara ndogo ndogo.

kama hawezi biashara

ufugaji na kilimo.

kama hawezi ufugaji
afanye anachoweza kadiri ya kipaji chake ili KUONGEZA KIPATO CHA FAMILIA.

Wengi wetu sisi wanaume uwezo wetu ni wa chini..mkisaidiana katika familia kiuchumi inapunguza ukali wa maisha..

hata KIDUKA CHA MANGI hapo nyumbani afanye shughuli yoyote halali itakayochangia PATO LA KAYA
Bora mfungulie biashara ila usimsomeshe.
 
Sio kutoa hela kumpa mwanaume. Naongelea kadili soko linavyoshuka entitlements nazo zinapungua. Leo mwanamke wa miaka 24 hata akiwa na kazi anaona ni wajibu kuhudumiwa na mahitaji yake na mwanaume kwa sababu anazo options. Lakini wa 35+ options zinapungua na hana tena factors za kumwezesha kupata attention ya wanaume kama alivyokua kule kwenye early 20s hapa lazima akubali na yeye kutoa hela. Masuala ya kutoka out halafu mpka usafiri akipiwe hayapo tena kwenye hii hatua
Kutumia hela kulipia gharama za mahusiano ni kukosa option au kuwa responsible as an adult? Sivyo mnavyotufundisha siku zote.

Mahusiano yanayoanzia chuoni au mtaani yapo lakini kwa kiasi kikubwa kudumu kwake yakifika huku mtaani itategemea zaidi kama mwanaume atawahi kutoboa. Mwanaume akichelewa kutoboa, wote wawili wakichelewa kutoboa au mwanamke akitoboa mapema huku mwanaume bado anaangaika kimaisha probability ya mahusiano kufa ni kubwa zaidi kuliko kudumu. Kuhusu wanawake kuanza mahusiano na mwanaume kuanzia chini mara nyingi wanawake hao wanakuaga hawana options bora zaidi ya mwanaume kwa wakati huo. Hauwezi kukuta pisi ya kiwango cha paula kajala au karen yule ex wa jux eti wanaanzia maisha na mwanaume kuuza genge mtaani
Huko juu nimekwambia sababu za mahusiano ya aina hiyo kufeli sio sababu ya pesa tu, hivi mnajijua wanaume mkiwa hamna pesa mna act vipi? (character)

Sikujua kama mada zako huwa ukalenga pisi kali tu, sisi kina mwajuma tunaanziaga popote na wanaume, which by number sisi ni wengi kuliko kina paula kajala.

Afu paula sio pisi kali na wewe, Kareen sawa.
 
Kutumia hela kulipia gharama za mahusiano ni kukosa option au kuwa responsible as an adult? Sivyo mnavyotufundisha siku zote.
Sababu zote mbili zinaweza kuwa majibu sahihi. Lakini haondoi ukweli kwamba kadili soko la mwanamke linavyoshuka na entitlements zinapungua.
Huko juu nimekwambia sababu za mahusiano ya aina hiyo kufeli sio sababu ya pesa tu, hivi mnajijua wanaume mkiwa hamna pesa mna act vipi?

Sikujua kama mada zako huwa ukalenga pisi kali tu, sisi kina mwajuma tunaanziaga popote na wanaume, which by number sisi ni wengi kuliko kina paula kajala.

Afu paula sio pisi kali na wewe, Kareen sawa.
pisi kali nimetoa kama mfano mmoja wapo ambao unampa mwanamke options. Nilichotaka kumaanisha mwanamke akiwa na option nyingi ataenda na highest bidder. Dhana ya kusema anamvumilia mwanaume au wanaanza pamoja kuanzia chini ni utapeli. Ukweli ni kwamba yupo na huyo mwanaume kwa sababu kuu mbili. Kwanza mwanamke na yeye pia ni masikini. Pili kwa wakati huo hana option bora zaidi.
 
Back
Top Bottom