Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Mleta mada kakusonya kwa hasira.Inafikirisha! Navyofahamu wanawake wamejiweka katika nafasi ya kuhudumiwa kikawaida. Itatofautiana gharama tu.
Apart from wanyang'anyi na chuna buzi wapo wanawake wema tu ni vile wanaume tumkimpata tunamchukulia poa na mara nyingi hatufumu nae.
Utabeba mimba wewe na kutuzalia watoto?Wanawake wa sikuhizi hawana faida..ni kupe
Bora awe broke lakini sio mtupu kichwaniIt will cost you more to be in relationship with a broke woman than to pay for sex.
Mkuuu tafadhali fafanuaaIt will cost you more to be in relationship with a broke woman than to pay for sex.
Wadogo zangu na vijana wenzangu leo sina mengi ya kuandika.
Kwa nini yeye mwanamke asitafute pesa zake za kujihudumia?Wapo wanawake hawahitaji hata pesa sema Utajistukia mwenyewe imesha kuwa kama nature ukiwa na mwanamke kimahusiano lazma umuhudumie
mwanamke hata akiwa napesa kukuzidi lakni mwanaume lazma atimize majukumu yake ndio maana hata ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke mwenye gari unaweza ukampa zawadi ya t shert la elf 15 akafurahi na kukuona wa thamanKwa nini yeye mwanamke asitafute pesa zake za kujihudumia.
Ukishajua mtu anakupenda ndio imeisha hioMleta mada kakusonya kwa hasira.
Anapenda akileta mada kama hii basi comments ziwe za kushambulia wanawake.
Wakati mke wake anamtegemea mpaka pedi!, usidanganywe na hizi fake ID watu hawaishi wanayo preach humu....Mleta mada kakusonya kwa hasira.
Anapenda akileta mada kama hii basi comments ziwe za kushambulia wanawake.