Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

Jibu hapo ni undefined!

Ni sawa na kugawa namba kwa sifuri.
 
Umesahau mzinzi anayemchukua mke wa mtu ilhali imeandikwa ndoa utenganishwa na kifo ama uzinzi na atakayeoa aliyeachika anazini.

Wazinzi CCM ndio wamejaaa sasa sijui mnawanyoshea vidole wenzenu wakati wao wenyewe wanajaza vimada. wakuu wa wilaya wengi ni.....................na wengine wengi tu
 
Kumlinganisha Lowassa na Slaa ni kumdhalilisha Lowassa, hawaendani hata kidogo, Lowassa ni kiongozi siyo mbabaishaji.

Body without head
 
asha rose migiro
 
Jibu mbona ni rahisi tu. Nalo ni kuwa Rais wa 2015 bado hata hajachaguliwa.
 
Nakupa fact nyingine ...linganisha maendeleo ya sehemu mbili kwa jitihada za usimamizi wa kodi na si pesa kutoka mfukoni kati ya Monduli na Karatu alafu utwambie ipi tuipe kura nyingi? alafu haukuona mpaka juzi waziri wako anaisifia Karatu kwa kusimamia mipango ya maendeleo? uliwahi kusikia Monduli?
 
Hakuna hata mmoja kati yao atakuwa wooooote hawajajiandaa kwa ajili ya hili ila wanachofanya ni maandalizi ya tamaa mbaya ya madalaka huku nyuma wamefumbata visasi.
 

kwa upande wangu niseme yafuatayo
kama ccm itamsimamisha Mh Lowasa kuwa ni mgombea na ikatokea kuridhika kwa wanachama wote na kuunganisha nguvu kwa lengo la chama kushika dola,basi nafasi kubwa ni Mh Lowasa kuwa rais wa awamu ya 5,lakini kama itatokea wanachama wa ccm ndani ya cc kutoridhika na uteuzi huo na kukawa na kinyongo na kuleta mgawanyiko na makundi ndani ya ccm,itakuwepo nafasi ya Dr Slaa kupata nafasi ya kuwa rais wa awamu ya 5,lakini si kazi raihisi kwa chama pinzani kupata nafasi ya namna hii,ni lazima kazi kubwa ifanywe ya kuhamasisha na kuwa karibu na wanaccm watakao ingia nyongo na kutokubaliana na uteuzi huo.kama wanaccm hao hawatakubali kutoka nje ya ccm na wakaunga mkono chama[hapa namaanisha kuwa,waamue kukinusuru chama],basi Dr Slaa hawezi kupita ktk tundu la sindano.
Tuelewe kuwa,ili vyama pinzani viweze kupata nafasi ya kuingia IKULU ni lazima kutokee SUNAMI ndani ya CCM ,la sivyo ni kama kujaza maji ktk bahari,wanaweza kupoteza viti vya ubunge,lakini si urais.
 
Hapo hakuna aliye mchafu Wala aliye Msafi ila sabuni ni kura yako wewe ukisubiri muadilifu nchi utakuwa chizi Ben
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…