Kuelekea Derby ya Simba na Young Africans, hebu tuangalie hii tofauti kati Kocha Robertinho na Gamondi

Aahaaaa
 
Yanga hana timu hata ya kutoa sare na simba hii ya Robertinho
Simba hii kufungwa sio sasa na nyinyi mnajua kilichobaki ni kujifariji tu ila ukweli mnaujua
'Abali' ya asubuhi blooo
 
Mbinu bora, kocha bora, wachezaji bora wameamua mechi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huu ndio uchambuzi uchwara wenyewe sasa
 
If you possess the ball on your half field of the pitch you're crazy possession starts from your opponent half –jahan cruyff–

Kule tanga robertinyo aliwaacha mmiliki mpira na hakuna mlichofanya.
Sawa, next usiupe ujinga nafasi.
Wew ni CCM, mbn km hauna ubongo😅😅
 
Sawa, next usiupe ujinga nafasi.
Wew ni CCM, mbn km hauna ubongo[emoji28][emoji28]
Nimeongelea mechi gani kwani hapo mkuu mbona unakuwa kama kibubusa kwa shinda goal tano ndio tayari mshachukua Caf champions league tayari.
 
Nimeongelea mechi gani kwani hapo mkuu mbona unakuwa kama kibubusa kwa shinda goal tano ndio tayari mshachukua Caf champions league tayari.
Basi pole braza.
Hali yako kwa sasa haiwez kuwa sawa.
 
Kweli Simba ni favorite kuzidi Yanga

Ft: Simba 1 vs Yanga 5
 
Yanga hana timu hata ya kutoa sare na simba hii ya Robertinho
Simba hii kufungwa sio sasa na nyinyi mnajua kilichobaki ni kujifariji tu ila ukweli mnaujua
Kweli wewe Gwede Gwede,hii Simba mbovu ndio ipate hata sare kwa Yanga?
 
Umetafsiri kiufundi well done
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…