Kuelekea Derby ya Simba na Young Africans, hebu tuangalie hii tofauti kati Kocha Robertinho na Gamondi

Madunduka msimu huu baada ya kugundua wamebolonga kwenye usajili..nguvu zoote wameelekeza kwenye ushirikina.

Hivyo kinachombeba kocha mburazil ni ushirikina na hawana kubeza timu yoyote wanayokutana nayo, hata wakikutana na timu ya jiji wapo sambamba na mganga wao.

Otopolo wasipoamka kwa kujivunia kina pakome tu watakuja wajute.
Aahaaaa
 
Yanga hana timu hata ya kutoa sare na simba hii ya Robertinho
Simba hii kufungwa sio sasa na nyinyi mnajua kilichobaki ni kujifariji tu ila ukweli mnaujua
'Abali' ya asubuhi blooo
 
Kuelekea Mchezo wa Derby ya Kariakoo inayotegemewa kuchezwa jumapili Movembe 5, 2023

Hebu tuangalie Staili ya kucheza ya makocha hawa Miguel Gamondi wa Young Africans na Roberhno wa Simba

Tukianza na Kocha Gamondi Staili yake ya kucheza inamvutia shabiki yeyote ambaye anataka kutazama soka safi, amekuwa akiitengeneza timu yake kucheza mchezo wa kuvutia kwenye kila mechi, pasi nyingi, kosa kosa nyingi na zaidi mpira wa burudani, Hii ni staili bora ambayo mashabiki wanaipenda na amekuwa na uwezo wa kubadilika kwenye kila mchezo kwenye eneo la ushambuliaji, kiungo na hata mabeki kutokana na kikosi chake kuwa na watu wengi.

Siyo jambo la ajabu kucheza bila mshambuliaji kwenye mechi zake, siyo ajabu kumuona Mzize akianza na siyo ajabu kumuona akiwatumia mabeki watatu badala ya wanne kama ilivyokuwa kwenye mchezo dhidi ya Azam.

Kwa upande wa Kocha wa Simba Robertinho, amekuwa tofauti na Gamondi msimu huu timu yake haijacheza mechi hata moja ikivutia, lakini ni timu ambayo ni ngumu kupoteza mchezo kwenye dakika tisini pamoja na kwamba imekuwa ikiruhusu mabao mengi kwenye timu yake.

Robertinho amekuwa akibadili kikosi chake kila kila kinachopata bao au kinaporuhusu bao kwenye mchezo wowote, ni kocha ambaye analinda alichonacho, huku Gamondi akiendelea kutafuta kitu kipya hata baada ya kupata, akifunga bao moja anatafuta la pili, Robertinho akifunga moja analilinda hilohilo.
Mbinu bora, kocha bora, wachezaji bora wameamua mechi
 
Mpira haupo hivyo mkuu.
Gamondi ndie anaiogopa zaidi simba ameenda zaidi ya mala tatu uwanjani kuisoma.

Gamondi ana Deni la kupoteza mchezo Muhimu wa ngao ya jamii uliopita na kumpa simba ubingwa pia amepoteza mchezo wa Ligi na Ihefu.

Robertinho ana Muda mrefu na simba.
Hajawahi kufungwa na Yanga tangu uganda.

Timu yake ina Avantage imecheza michezo mikubwa hapa karibuni ni zoezi zuri kuelekea Dabi
Kutoa sale na Alhly michezo miwili hiyo timu si ya kubeza.

Kiutaalam simba ni Favourate zaidi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huu ndio uchambuzi uchwara wenyewe sasa
 
If you possess the ball on your half field of the pitch you're crazy possession starts from your opponent half –jahan cruyff–

Kule tanga robertinyo aliwaacha mmiliki mpira na hakuna mlichofanya.
Sawa, next usiupe ujinga nafasi.
Wew ni CCM, mbn km hauna ubongo😅😅
 
Sawa, next usiupe ujinga nafasi.
Wew ni CCM, mbn km hauna ubongo[emoji28][emoji28]
Nimeongelea mechi gani kwani hapo mkuu mbona unakuwa kama kibubusa kwa shinda goal tano ndio tayari mshachukua Caf champions league tayari.
 
Basi pole braza.
Hali yako kwa sasa haiwez kuwa sawa.
 
Mpira haupo hivyo mkuu.
Gamondi ndie anaiogopa zaidi simba ameenda zaidi ya mala tatu uwanjani kuisoma.

Gamondi ana Deni la kupoteza mchezo Muhimu wa ngao ya jamii uliopita na kumpa simba ubingwa pia amepoteza mchezo wa Ligi na Ihefu.

Robertinho ana Muda mrefu na simba.
Hajawahi kufungwa na Yanga tangu uganda.

Timu yake ina Avantage imecheza michezo mikubwa hapa karibuni ni zoezi zuri kuelekea Dabi
Kutoa sale na Alhly michezo miwili hiyo timu si ya kubeza.

Kiutaalam simba ni Favourate zaidi.
Kweli Simba ni favorite kuzidi Yanga

Ft: Simba 1 vs Yanga 5
 
Yanga hana timu hata ya kutoa sare na simba hii ya Robertinho
Simba hii kufungwa sio sasa na nyinyi mnajua kilichobaki ni kujifariji tu ila ukweli mnaujua
Kweli wewe Gwede Gwede,hii Simba mbovu ndio ipate hata sare kwa Yanga?
 
Kuelekea Mchezo wa Derby ya Kariakoo inayotegemewa kuchezwa jumapili Movembe 5, 2023

Hebu tuangalie Staili ya kucheza ya makocha hawa Miguel Gamondi wa Young Africans na Roberhno wa Simba

Tukianza na Kocha Gamondi Staili yake ya kucheza inamvutia shabiki yeyote ambaye anataka kutazama soka safi, amekuwa akiitengeneza timu yake kucheza mchezo wa kuvutia kwenye kila mechi, pasi nyingi, kosa kosa nyingi na zaidi mpira wa burudani, Hii ni staili bora ambayo mashabiki wanaipenda na amekuwa na uwezo wa kubadilika kwenye kila mchezo kwenye eneo la ushambuliaji, kiungo na hata mabeki kutokana na kikosi chake kuwa na watu wengi.

Siyo jambo la ajabu kucheza bila mshambuliaji kwenye mechi zake, siyo ajabu kumuona Mzize akianza na siyo ajabu kumuona akiwatumia mabeki watatu badala ya wanne kama ilivyokuwa kwenye mchezo dhidi ya Azam.

Kwa upande wa Kocha wa Simba Robertinho, amekuwa tofauti na Gamondi msimu huu timu yake haijacheza mechi hata moja ikivutia, lakini ni timu ambayo ni ngumu kupoteza mchezo kwenye dakika tisini pamoja na kwamba imekuwa ikiruhusu mabao mengi kwenye timu yake.

Robertinho amekuwa akibadili kikosi chake kila kila kinachopata bao au kinaporuhusu bao kwenye mchezo wowote, ni kocha ambaye analinda alichonacho, huku Gamondi akiendelea kutafuta kitu kipya hata baada ya kupata, akifunga bao moja anatafuta la pili, Robertinho akifunga moja analilinda hilohilo.
Umetafsiri kiufundi well done
 
Back
Top Bottom