hahhaha Zaza leo kasababisha mpaka mwanangu kaota penalties za jana,kaota zaza alivyorukaruka kabla hajapiga penalti na kukosa juu.Mpaka mwanangu wa seven yrs anamzidi ZAZA ujanja wa kupiga penalt,mwanangu anasema ukiwa unapiga penalt usimpe muda goalkipa wa kukusoma,yaani ukisita tu basi,imekula kwako
Zaza alifanya kituko cha mwaka jana, kwa tukio lile kuliota ni jambo la kawaida sana. Mwenyew nilijikuta ninacheka tu mwenyew nilipokumbuka jamaa alivyokua anaruka ruka!!hahhaha Zaza leo kasababisha mpaka mwanangu kaota penalties za jana,kaota zaza alivyorukaruka kabla hajapiga penalti na kukosa juu.Mpaka mwanangu wa seven yrs anamzidi ZAZA ujanja wa kupiga penalt,mwanangu anasema ukiwa unapiga penalt usimpe muda goalkipa wa kukusoma,yaani ukisita tu basi,imekula kwako
Victoire nipo nafuatilia kwa sana tu ila sichangii sana humu kama 2014 hahahaah. Timu yangu imeondolewa Jana.!Huu usemi umenikumbusha mwaka 2014,wakati wa kupigiana penalties,Katavi ,Heaven on Earth na wengine mliokuwepo 2014 mpo wapi jamani?
Hongereni aisee.Leo tuna watoa hatimaye
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]So unashabikia France sababu Giroud anachezea France ? Naskia mmepata striker mpya toka Japan
Hawa ni ndugu hasa.Iceland team yao yote majina yanaishia ba SON. Nimeipenda hiyo.
Utamaduni wao nimeupenda..Inawezekana nchi zima wanaume majina yanaishia hivyoHawa ni ndugu hasa.
Hawa Iceland sijui moja kati ya kuitwa national team lazima jina lako liishie na Son!
Mtani kumbe upo?jipambanue mimi England team tulifungishwa virago na hawa kina son son son son.Victoire nipo nafuatilia kwa sana tu ila sichangii sana humu kama 2014 hahahaah. Timu yangu imeondolewa Jana.!
Iceland team yao yote majina yanaishia ba SON. Nimeipenda hiyo.
Inawezekana nchi nzima wako hivyo..Itabidi kufwatiliaHawa Iceland sijui moja kati ya kuitwa national team lazima jina lako liishie na Son!