Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Msalimie mwanao, the Cinderella team of EURO
2016 leo ndio inafungishwa virago vyao rasmi. Halafu nusu final mkong'oto wa France na Germany na atakayeshinda mechi hii bila shaka ndiye ataukwaa ubingwa kwa miaka mingine minne.

hahhaha Zaza leo kasababisha mpaka mwanangu kaota penalties za jana,kaota zaza alivyorukaruka kabla hajapiga penalti na kukosa juu.Mpaka mwanangu wa seven yrs anamzidi ZAZA ujanja wa kupiga penalt,mwanangu anasema ukiwa unapiga penalt usimpe muda goalkipa wa kukusoma,yaani ukisita tu basi,imekula kwako
 
1347b5cc6457a924f30e1054e2933dd4.jpg
 
hahhaha Zaza leo kasababisha mpaka mwanangu kaota penalties za jana,kaota zaza alivyorukaruka kabla hajapiga penalti na kukosa juu.Mpaka mwanangu wa seven yrs anamzidi ZAZA ujanja wa kupiga penalt,mwanangu anasema ukiwa unapiga penalt usimpe muda goalkipa wa kukusoma,yaani ukisita tu basi,imekula kwako
Zaza alifanya kituko cha mwaka jana, kwa tukio lile kuliota ni jambo la kawaida sana. Mwenyew nilijikuta ninacheka tu mwenyew nilipokumbuka jamaa alivyokua anaruka ruka!!
 
So unashabikia France sababu Giroud anachezea France ? Naskia mmepata striker mpya toka Japan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kweli wenger ni kiboko
Kwa usajili huuu!!!
 
Wafaransa weusi tupo wapi? Sitoshangaa maajabu ya mwaka huu kuendelea. Wafaransa nao sometimes wapo wapo kama Arsenal, England, Belgium. Tusubiri tuone. Dakika 8 zimebaki kabumbu lianze.
 
Team news:

France wamefanya mabadiliko kwenye sehemu ya kiungo na N'golo Kante na Adil Rami nafasi zao zimechukuliwa na Moussa Sissoko na Samuel Umtiti baada ya kupewa kadi tano za njano.

Hivyo basi timu ya France:

Lloris; Sagna, Umtiti, Koscielny, Evra; Pogba, Matuidi; Sissoko, Griezmann, Payet na mbele Oliver Giroud.

Wachezaji wa akiba- Mandanda, Jallet, Cabaye, Gignac, Martial, Schneiderlin, Mangala, Digne, Coman, Costil.

Timu ya Iceland Halldorsson; Saevarsson, Arnason, Ragnar Sigurdsson, Skulason; Gudmundsson, Gunnarsson, Gylfi Sigurdsson, Birkir Bjarnason; Sigthorsson, Bodvarsson.

Wachezaji wa akiba ni Kristinsson, Hauksson, Hermannsson, Ingason, Finnbogason, Sigurjonsson, Theodor Elmar Bjarnason, Magnusson, Hallfredsson, Traustason, Gudjohnsen, Jonsson.

Mwamuzi wa mchezo huu anaitwa Bjorn Kuipers ambae anatoka Holland.
 
Samuel Umtiti ni beki mshahara wa France ambae wiki hii amesajiliwa na Barcelona kutoka timu ya Lyon ya France kwa Euro milioni 25.

Hii ni mara yake ya kwanza kuchezea timu ya taifa ya France.
 
Back
Top Bottom