Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Sijaielewa ile foul wala kadi ya njano. Inaelekea ni maagizo kutoka kwa malkia England wapewe goli moja.
 
Harry Kane nae anaangushwa na adhabu inapigwa na yeye mwenyewe na anapaisha ni goal kick.

Dakika zimebakia 6 tu mpira uishe

England 1 Russia 0
 
Huyu Sterling anakimbia kabinua makalio tu sijui ndio nini! Huyu benchi linamuhusu sana huyu
 
Sijaielewa ile foul wala kadi ya njano. Inaelekea ni maagizo kutoka kwa malkia England wapewe goli moja.

Eric Dier, harry Kane na Deli Ali huwa watumia mbinu hiyo ya kutafuta goli la mpira wa adhabu wakiwa Tottenham.

Hivyo kwa wanaofuatilia hii kitu si ngeni sana ila Russia wamejisahau kwa hilo.
 
Kona kwa Russia inapigwa na inapotea na Grushakovoooooooooo 1-1

Nahodha wa Russia anasawazisha ngoma ni 1-1

England are shuttered!
 
Lalalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa oyoooooooooo 1_1
 
Hahahahaha safari ya kuyaaga mashindano imeanza rasmi kwa 3 Lions koko..
 
draw mach dakika za majeruhi we acha tu mi nachukia putin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…