Kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa

Kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa

Good, hapa timu kataa ndoa watapita hivi....[emoji28]
JamiiForums2142472440.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Am about to hit 9 years with her, this woman is something else, she is the living example of perfect combo,
Thanks pal, I know for these your best and unparallel comment kataa ndoa's team will pass quietly.
 
Tumepokea ushauri wako, Ila watu waliolelewa na Mama pekee. 95% uchukia baba Zao maana wanapandikizwa sumu na mama zako.
Right! Lakini pia wanaolelewa na Baba zao wenye uelewa finyu wa maisha in particulaar na ndoa in general nao huwapandikiza chuki dhidi ya Mama zao likewise.
 
kwa zile comments kule uzi wa warembo nikakuona mjuba kumbe umeoa?

ushauri mzuri sema tu umemalizia vibaya, sio lazima kuoa
Chief frankly speaking sio lazima kuoa lakini ukitaka kudumisha utu na kuwalea watoto kwenye misingi mizuri basi ndoa inabidi. Asikwambie mtu nusu ya utu wa mtu ni ndoa.
 
"Hakuna mtu mwenye akili timamu,anaweza kudumu kwenye ndoa kwa miaka mingi" hii kauli ina ukweli boss?
Kwahiyo unataka kusema mababu na mabibi zetu waliodumu kwenye ndoa zaidi ya miaka 80 hawakuwa na akili timamu? Asiye na akili ndio anaikimbia ndoa, we umeona wapi kichaa akaoa? Na ndio maana moja ya vigezo vya mtu kuoa awe na akili timamu.
 
Kuwa na watoto sio lazima, lakini tunaishi tukijua hapa duniani tumekuja na tutapita, kizuri ni kuacha alama kuwa ulipita kuliko ukiondoka bila alama yoyote.
Isaac Newton kaacha alama kubwa hapa duniani kuliko wewe uliye oa ambae hata mtaani kwako sidhani kama kuna alama yoyote ya kukumbukwa utaacha.
 
ndoa ni makazi ya shetani, anaweka kambi hapo kabisa, kwahiyo maisha yenu yote mnapambana na changamoto moja baada ya nyingine
changamoto zingine zinatoka nje na zingine humohumo ndani
Lakini mwisho wa siku si tunatakiwa kumshinda shetani? Ukishikamana na dini na kumjua Mungu kwelikweli shetani hana nafasi, unasemaje kuhusu hili?
 
Kuwa na ndoa ni kitu ambacho kila mwanaadamu hutamani kuwa nacho isipokuwa baadhi ya matatizo, makuzi, nyendo na baadhi ya tabia ndio ambazo hupelekea baadhi yetu kuzishindwa ndoa.
Hii kwa mujibu wa akili zako
 
Kuwa na ndoa ni kitu ambacho kila mwanaadamu hutamani kuwa nacho isipokuwa baadhi ya matatizo, makuzi, nyendo na baadhi ya tabia ndio ambazo hupelekea baadhi yetu kuzishindwa ndoa.





Hapo ndo penye point huko kwingine umetukoromea brother
Hakuna point yoyote
 
Hapana, kizazi cha sasa hivi wengi wa vijana mnaonekana kila kitu mnawadondoshea mzigo wanawake. Na ndio maana mko na team zenu za kataa ndoa. Mwanaume kama umetimia ndoa ni kitu cha msingi kwa ajili ya kuendeleza kizazi chako.
Kuendelea kizazi kwa ajili ya nini ?
 
Back
Top Bottom