Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Right! Lakini pia wanaolelewa na Baba zao wenye uelewa finyu wa maisha in particulaar na ndoa in general nao huwapandikiza chuki dhidi ya Mama zao likewise.Tumepokea ushauri wako, Ila watu waliolelewa na Mama pekee. 95% uchukia baba Zao maana wanapandikizwa sumu na mama zako.
Chief frankly speaking sio lazima kuoa lakini ukitaka kudumisha utu na kuwalea watoto kwenye misingi mizuri basi ndoa inabidi. Asikwambie mtu nusu ya utu wa mtu ni ndoa.kwa zile comments kule uzi wa warembo nikakuona mjuba kumbe umeoa?
ushauri mzuri sema tu umemalizia vibaya, sio lazima kuoa
Na nani kasema ni lazima kuwa na watoto ni lazima?Chief frankly speaking sio lazima kuoa lakini ukitaka kudumisha utu na kuwalea watoto kwenye misingi mizuri basi ndoa inabidi. Asikwambie mtu nusu ya utu wa mtu ni ndoa.
Kwahiyo unataka kusema mababu na mabibi zetu waliodumu kwenye ndoa zaidi ya miaka 80 hawakuwa na akili timamu? Asiye na akili ndio anaikimbia ndoa, we umeona wapi kichaa akaoa? Na ndio maana moja ya vigezo vya mtu kuoa awe na akili timamu."Hakuna mtu mwenye akili timamu,anaweza kudumu kwenye ndoa kwa miaka mingi" hii kauli ina ukweli boss?
Hii kwa mujibu wako wewe kutokana na akili zako zilipo ishia ?2. Ndoa ni kipimo cha akili kwa maana wenye akili pekee ndio watakaoiweza ndoa kwani wasio na akili mapema sana huamua kujitoa.
Kuwa na watoto sio lazima, lakini tunaishi tukijua hapa duniani tumekuja na tutapita, kizuri ni kuacha alama kuwa ulipita kuliko ukiondoka bila alama yoyote.Na nani kasema ni lazima kuwa na watoto ni lazima?
Sio kila mtu anaishi kidini mkuu
Hii kwa mujibu wa akili zako zilipo ishia ?
Ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu.
Isaac Newton kaacha alama kubwa hapa duniani kuliko wewe uliye oa ambae hata mtaani kwako sidhani kama kuna alama yoyote ya kukumbukwa utaacha.Kuwa na watoto sio lazima, lakini tunaishi tukijua hapa duniani tumekuja na tutapita, kizuri ni kuacha alama kuwa ulipita kuliko ukiondoka bila alama yoyote.
Lakini mwisho wa siku si tunatakiwa kumshinda shetani? Ukishikamana na dini na kumjua Mungu kwelikweli shetani hana nafasi, unasemaje kuhusu hili?ndoa ni makazi ya shetani, anaweka kambi hapo kabisa, kwahiyo maisha yenu yote mnapambana na changamoto moja baada ya nyingine
changamoto zingine zinatoka nje na zingine humohumo ndani
Hii kwa mujibu wa akili zakoKuwa na ndoa ni kitu ambacho kila mwanaadamu hutamani kuwa nacho isipokuwa baadhi ya matatizo, makuzi, nyendo na baadhi ya tabia ndio ambazo hupelekea baadhi yetu kuzishindwa ndoa.
Bila ndoa utu hakuna ?4. Lakini pia ndoa ni kipimo cha utu
Hakuna point yoyoteKuwa na ndoa ni kitu ambacho kila mwanaadamu hutamani kuwa nacho isipokuwa baadhi ya matatizo, makuzi, nyendo na baadhi ya tabia ndio ambazo hupelekea baadhi yetu kuzishindwa ndoa.
Hapo ndo penye point huko kwingine umetukoromea brother
Tatizo unatakiwa ufanye sherehe na usaini karatasi ili uonekane una ndoa....Ndoa raha bhana!
Kuendelea kizazi kwa ajili ya nini ?Hapana, kizazi cha sasa hivi wengi wa vijana mnaonekana kila kitu mnawadondoshea mzigo wanawake. Na ndio maana mko na team zenu za kataa ndoa. Mwanaume kama umetimia ndoa ni kitu cha msingi kwa ajili ya kuendeleza kizazi chako.