trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,944
- 2,283
khaaa..!! huyu jamaa yupo nchi gani hivi.!? wazazi wangu ni walim na tunapiga nao lunch kila siku kabla ya sa9, likizo zote nashinda nao hom sasa sikuelewi unachobishaTatizo wewe unaonge ulichosikia wakati mimi naongea nilichokipitia! Aliyekwambia kazi ya mwl ni kufundisha tu bado yuko milembe?
Hebu leo ikifika saa nane kamili angalia nje kama utamuona mwanafunzi anatoka shule!
Aliyeleta dharau ni aliyesema daktari alipwe sawa na mwalimu mkuu, otherwise mchango wa kila mtu ni wa muhimu dunianiAcha dharau Kijana !! Heshimu kazi ya kila MTU...km ww ni doctor. Hao wanaokaririsha unachookiita videfinition wasingekuwa Hao ,usinge fika hapo! Heshimu Msingi wa nyumba yako!! Hashimu Msingi wa maarifa yako!!acha dharau kabisa...aiseeeee..ukute mama yako naye ni mwl.au baba yako...
Sasa kwani daktari aliyeajiliwa serikalini hawezi kulima?, hawezi kujiajili? , anyway utakuwa mkulima mwalimu basi.nan amekuambia mim mwalimu mie mkulima...we veeepe acha ukilaza we unajua kila mtu ameajiriwa
1.labda nikuulize, ni hospital gani inakaa usiku kucha bila kupokea mgonjwa hata mmoja?
2. nimesoma shule ya bweni, matatizo ya usiku yalitokea kwa nadra sana. na mara nyingi HP ndo aliyashughulikia na kutoa taarifa kesho yake.
we vepe mbona unalazimisha kuwa mimi ni mwalimu ,? njoo ilula tulime nyanya mie mtetez wa wote hasa wanaolikomboa taifa na wazalendoSasa kwani daktari aliyeajiliwa serikalini hawezi kulima?, hawezi kujiajili? , anyway utakuwa mkulima mwalimu basi.
Binafsi nawaheshimu sana walimu. Mbwembwe na sarakasi zote za huyo neurologist wako, engeneer, pilot na wengine wote, kama sio mwalimu wote wangekua vilaza! Kama sio Mwalimu hata hii JF isingekuwapo!Kuna vitu vingine vinachekesha kweli dunia mzima haupo huo utaratibu mtu na MMED yake ya neurology anachambua ubongo kama mchele amekaa darasani miaka 9 eti alipwe sawa na mwalimu wa civics form one, NONSENSE.
Ukiona sehemu wanalipa vizuri hamia huko.
Kwani nani amesema hamuheshimu mwalimu?, ila mwalimu anayetaka alipwe sawa na daktari ataendelea kudharaulika si tu na mimi bali na wanafunzi wake darasaniBinafsi nawaheshimu sana walimu. Mbwembwe na sarakasi zote za huyo neurologist wako, engeneer, pilot na wengine wote, kama sio mwalimu wote wangekua ******! Kama sio Mwalimu hata hii JF isingekuwapo!
Mbona unaongea kana kwamba umevamia fani!!!!!!!!!..........hii mada ya ulinganisho wa mishara kulingana na viwango vya elimu bila kujali kada ni mufilisi kabisa,
haiwezekani nimeshinda porini natengeneza contour, nimeresolve force zote zile za Dr Luambuka (R.I.P) wakina dr nyaoro wananishika mashirt kila mwaka, 4yrs naumia, bado registration board ya Prof Lema wamesisotesha kwa miaka 3, alaf nije nilipwe mshahara sawa na ngwini alikuwa anakaa kwenye kimbweta kwenye mdigrii kwa miaka 3 na BA in education (Kiswahili).
haiwezekani, nasema tena haiwezekani. kama vp na mimi nisome Kiswahili maana si tutapata mshahara sawa, alaf tuone madaraja atajenga nani,
Nani kasema haitofautiani sana, acha kujipa moyo wewe, DAKTARI MWENYE DIPLOMA TU ANAKULA PESA NDEFU KULIKO MWALIMU MWENYE DEGREE
khaaa..!! huyu jamaa yupo nchi gani hivi.!? wazazi wangu ni walim na tunapiga nao lunch kila siku kabla ya sa9, likizo zote nashinda nao hom sasa sikuelewi unachobisha
Ili iweje, mutasubiri sana, eti tofauti isiwe kubwa mbona hamuzungumzii tofauti ya miaka chuoni na ada isiwe kubwa, we mtu hadi anauwa MD kachoma zaidi ya 40M uje umlipe sawa na mtu aliyesoma handhouts tu ada degree yake hata 5M haifiki kwa miaka yote hadi akawa na degree, eti tofauti iwe tu kwenye mishahara, narudia tena uwezo wa kufikiri wa walimu ni mdogo sana ndio mana wengi wao walifeli wakawa walimuWatu mna majungu! Mada imelenga kupanga upya mishahara.Watu mnatoka nje ya mada kwa kulinganisha mishahara ya daktari na mwl! Hatukatai tofauti lakini isiwe kubwa as if mmoja yuko mbinguni na mwingine duniani.
Kila MTU atalipwa anachostahili,,ukitaka mshahara wa daktari au injinia rudi shule kasomee uinjinia uone ugumu wake then ndo uje ulipwe,tukifanya kama unavyotaka nchi hii haitakuwa na wataalamu,wote watajazana ualimu sababu yann kujitesa kusoma misomo migumu ilhali nakuja kulipwa sawa na mwalimu
Nikisoma michango kama hii huwa nafarijika kuwa Jamii forum, lakini sometime anatokea tu mpuuzi mmoja anataka afananishe polisi na TPDF bila kujua lengo na changamoto za sehemu hizo 2.Hahahahha hii thread [emoji23][emoji23][emoji23]
BTW mi naona wanapopanga mishahara wazingatie yafuatayo:
1. Kiwango cha elimu. Kuwe na utofauti wa mwenye elimu ya ngazi ya cheti, shahada, ....
2. Muda ambao umetumika kutumia kusomea utaalamu huo. Mf kuwe na utofauti wa degree za 3, 4, 5,.... years.
3. Waliofuzu na kusajiriwa/kupata weledi wa fani husika. Mf usajiri wa Waandisi, Wahasibu, Madaktari, Wanasheria na wengineo.
4. Risks za kazi husika. Wanaofanya kazi zenye risks wapewe kipaumbele ili kutiwa moyo. Laa sivyo tutarajie wengi kuacha kazi. Mfano: madaktari, askari, mahakimu, ....,
5. Uzoefu kazini. Wenye muda mrefu wapewe nyongeza fulani.
6. Wanaofanyia kazi kwenye maeneo magumu...hard to reach areas wapewe allowances.
N:B kama hayawezi yote hayo kuzingatiwa kwenye salary scale basi waweke allowances zinazojulikana na zitekelezwe. Isiwe kuwa allowances hewa.
Yaani ndo post ya kwanza tu, umeanza kupost ujinga! Wewe hufiki mbali humu!!Acheni kufananisha udaktari na mambo ya kiuchwara uchwara
Mwishoni ndio umeharibu ndugu, lakini kuna mwalimu anapokea million 5 tuko nae jirani yaani toka mwaka 86 alikuwa na degree akianzia tarehe 1mpaka 30 anashinda baa tujamani vitu vingine tuwe tuna uliza wenyeji mwalimu wa ngazi ipi Tanzania analipwa mshahara wa laki mbili mbona mnapenda kuona kama walimu ndio watumishi hohe hahe kwa kila kitu
Hivi mnajua Kuna walimu wanachukua mshahara milioni moja yani hiyo milioni ni yake hapo makato yote yamefanyika
Hivi mnajua katika watumishi wa umma ukiweza tatu bora mwalimu hawezi kukosa kuwa na mshahara mzuri ukitofautisha na idara nyingine
Tatizo walimu wamejaa uchoyo na unafiki ndio maaana wanaoneka hawana kipato wanaogopa kusema wapo vizuri kiuchumi kwakujua wataobwa au kukopwa