Hahahahha hii thread [emoji23][emoji23][emoji23]
BTW mi naona wanapopanga mishahara wazingatie yafuatayo:
1. Kiwango cha elimu. Kuwe na utofauti wa mwenye elimu ya ngazi ya cheti, shahada, ....
2. Muda ambao umetumika kutumia kusomea utaalamu huo. Mf kuwe na utofauti wa degree za 3, 4, 5,.... years.
3. Waliofuzu na kusajiriwa/kupata weledi wa fani husika. Mf usajiri wa Waandisi, Wahasibu, Madaktari, Wanasheria na wengineo.
4. Risks za kazi husika. Wanaofanya kazi zenye risks wapewe kipaumbele ili kutiwa moyo. Laa sivyo tutarajie wengi kuacha kazi. Mfano: madaktari, askari, mahakimu, ....,
5. Uzoefu kazini. Wenye muda mrefu wapewe nyongeza fulani.
6. Wanaofanyia kazi kwenye maeneo magumu...hard to reach areas wapewe allowances.
N:B kama hayawezi yote hayo kuzingatiwa kwenye salary scale basi waweke allowances zinazojulikana na zitekelezwe. Isiwe kuwa allowances hewa.