dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
Hatuwadharau walimu ila kusema idara zote mishahara ifanane kuna uwezekano baadhi ya kazi watu hawataamua kusoma.toa mfano unaoeleweka sasa alafu unajua Kuna kitu miye huwa nashangaa sana watu wote waodharau walimu ambao wapo secta tofauti na uwalimu wengi wao wazazi wao ni walimu
Yani huu ni utafiti ulio wazi hakuna secta ya utumishi wa umma au nje ya utumishi wa umma ambayo watumishi wake wanaojitahidi na kuhakikisha watoto wao watapata elimu bora kama walimu
Walimu ndio wanaongoza kuwa na watoto madaktari , injinia, wahasibu, mahakimu nk ila ajabu hawa watu wanadharau walimu sasa unajiuliza hivi hiyo kazi ingekuwa ina tatizo mzazi wako aliwezaje kukosomesha
Ukibisha wewe ingia tasisi yoyote sema jamani wale watumishi ambao wazazi wao ni walimu wandike majina hapa Kuna offers ya inakuja utaona asilimia tatu watakuwa watoto wa walimu
Tusidharau walimu jamani wapo vizuri sema wengi wao hawatambui hilo
Mishahara inakua mikubwa kwa baadhi ya sekta ili kuwapa motisha watu wajiunge zaidi na kada hizo.
Unafikiri ni kwann watu wanaosoma ualimu ni wengi kuliko udaktari?