Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Maisha ni kidore, nida wanataka kidole. Kwahilo la simu ya mezani naona ni sawa kufanya usajili. Hata hivyo hii adhabu ilitakiwa kutangazwa kabla ya zoezi zima kuanza ili raia waelewe vinginevyo kuna watu wameiona fursa hapo na sasa ni mwendo wa kuvizia na kushtukiza.
 
Coordination ya hii mifumo imefanywa kiholela sana hivi kuingiza data na kutoa designation number inachukua muda gani?
Swala kubwa hapa ni watu kutengeneza matatizo kwenye mfumo ili uendelee kuwanufaisha....
Naona huduma za simu za TTCL zikirudi pamoja na wale wenzangu wa kupigisha mitaani.(Fursa hii wadau)
 
Hili zoezi ni zaidi ya kumaliza utapeli wa mitandaoni!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Since 2014 na barua ya kuniita kuchukuwa kitambulisho ninayo lakini hakionekani popote pale.
NIDA ni tatizo kubwa saana na ni wenye kauli mbaya kwa wateja wao kiufupi wanadhani bila ya wao kuwepo dunia ita acha kuzunguka.
Ona sasa watu wanachukuwa wrong way ya kusajili simu zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna laini itakayofungiwa
Your browser is not able to display this video.


Jr[emoji769]
 
Huduma hiyo itakuwepo kwa mujibu wa nida. Utakuwa na uwezo wa kupokea sms ila hutaweza kutuma sms kwa maoni yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natabiri leo boss wa nida analiwa kichwa.. kama sio huyo basi lugola atakosa kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakiamua kufunga wafunge tu , kama kuongeza muda haiwezekani. Nadhani JF ishajiandaa kisaikolojia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshasajiliwa na mchumba nitaendelea kudunda hewani kama kawa ingawa kwa namba mpya,,

sasa nione kiburushuti kinamgusa eti anashtakiwa kwa kunisajilia line,,

kama sijatoa mbupu la mtu,,
Wewe utakuwa na Songesha au mpower
 
Namba zenyewe ndio hizo zinaanza za mwaka wa muhusika wa kuzaliwa?

MTC | 101| [emoji769]
 
Watu kama hao hata wakifungiwa laini hakuna hasara.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…