Kuelekea maadhimisho ya miaka miwili ya Rais Samia, Tutaje mafanikio ya ndani ya miaka miwili

Kuelekea maadhimisho ya miaka miwili ya Rais Samia, Tutaje mafanikio ya ndani ya miaka miwili

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Kabla hatujafika tarehe 01/03/2023 tunaomba tukumbushane juu ya hii siku muhimu ya kuadhimisha miaka miwili ya Rais DK. Samia.

01/03/2023 tunaadhimisha miaka miwili ya Mh Rais na kwa kutaja mafanikio ya ndani ya miaka miwili na matarajio ya baadaye. Tutazindua madaraja mawili MTO MORI NA MTO WAMAYA, na Barabara ya Nyamaguku Kirogo ( KIWANGO CHA CHANGARAWE) KAMA MOJA YA MAFANIKIO NDANI YA MIAKA MIWILI YA SAMIA.

SAMIA 2.jpg
 
Kafanya mengi mazuri yakiwemo yale aliyoyaacha hayati Magufuli. Ndio maana umeona yule m'beleji kaingia mitini baada ya kuja na kukosa hoja za kuwahadaa watanzania ili wakajazane kwenye mikutano yake.

Watanzania wa sasa wana uelewa mkubwa wa kuona kila kinachofanywa na serikali yao. Tofauti na wa miaka ile ya 2008 hadi 2015 ambao waliweka mapenzi mbele ya vyama vyao kuliko uhalisia wa vyama hivyo.
 
Hivi kweli mzazi mwenye dhamana juu ya familia yake anaweza kuorodhesha yale apaswayo kuyatenda kama mafanikio ndani ya muda fulani!?

*Nimenunua chakula
*Nimenunua chupi za mtumba, moja kwa ajili yangu, mbili za mke wangu na nyingine sita kwa ajili ya watoto wangu
  • Nimenunua bra moja kwa ajili ya mke wangu
  • Na kadhalika

Taasisi ya urais imepewa majukumu yake kikatiba, kwa hiyo ni haki na wajibu wake kufanya yale ipaswayo kuyafanya. Kutoa sifa tena zikiwa "attributed" kwa mtu mmoja si sawa hata kidogo. Hata kama sifa zinapaswa kutolewa, zinapaswa kuwa ni za serikali wala siyo kwa mtu mmoja
 
huyo mtu anajipendekeza,utakuta anataka kuwania nafasi huko mbeleni.

natamani sanasana tumpe shime rais aendelee kulinda na kusimamia amani iliyopo kwa kadri katiba inavyoruhusu.
hizi sifa tuachane nazo.
 
Kabla hatujafika tarehe 01/03/2023 tunaomba tukumbushane juu ya hii siku muhimu ya kuadhimisha miaka miwili ya Rais DK. Samia.

01/03/2023 tunaadhimisha miaka miwili ya Mh Rais na kwa kutaja mafanikio ya ndani ya miaka miwili na matarajio ya baadaye. Tutazindua madaraja mawili MTO MORI NA MTO WAMAYA, na Barabara ya Nyamaguku Kirogo ( KIWANGO CHA CHANGARAWE) KAMA MOJA YA MAFANIKIO NDANI YA MIAKA MIWILI YA SAMIA.

View attachment 2521611
Rais Samia amekichafua Kwa mapesa na mamiradi Kila sehemu asikwambie mtu..

Sijawahi ona Rais aliyetekeleza miradi Mingi Kwa mda mfupi kama Samia.

Ukisema uanze kuorodhesha humu utajaza Seva.

Just imagine Watoto wate wa sekondari wameenda, Wanafunzi wote Wamepata mikopo,hospyzote za Mikoa Zina CT Scans, hospital zote za Wilaya Zina digital x-rays nk

Hapa ni Ruangwa miradi 2 ya maji Kwa Bilioni 120 inaanza kutekelezwa na Wakandarasi wazawa.

huyo mtu anajipendekeza,utakuta anataka kuwania nafasi huko mbeleni.

natamani sanasana tumpe shime rais aendelee kulinda na kusimamia amani iliyopo kwa kadri katiba inavyoruhusu.
hizi sifa tuachane nazo.
Sio swala la kujipendekeza,hivi mna matatizo gani nyie? Mtu Kwa utashi wake anafurahia na kuonesha mambo mazuri yaliyofanywa eti anajipendekeza.

Huu ujinga mtaacha lini nyie wapumbavu?

Basi furahi hakuna alichokifanya
 
Hivi kweli mzazi mwenye dhamana juu ya familia yake anaweza kuorodhesha yale apaswayo kuyatenda kama mafanikio ndani ya muda fulani!?

*Nimenunua chakula
*Nimenunua chupi za mtumba, moja kwa ajili yangu, mbili za mke wangu na nyingine sita kwa ajili ya watoto wangu
  • Nimenunua bra moja kwa ajili ya mke wangu
  • Na kadhalika

Taasisi ya urais imepewa majukumu yake kikatiba, kwa hiyo ni haki na wajibu wake kufanya yale ipaswayo kuyafanya. Kutoa sifa tena zikiwa "attributed" kwa mtu mmoja si sawa hata kidogo. Hata kama sifa zinapaswa kutolewa, zinapaswa kuwa ni za serikali wala siyo kwa mtu mmoja
Wewe unaonaje? Kwako ukitaka aorodheshe nini kama mafanikio?

Aisee Kuna ma watu mna chuki na roho mbaya ya wivu sijawahi ona ,kwamba unaumia sana ukiona hivyo au?

Utaumia sana,ndani ya miaka 2 TRA wametoka kwenye 1.2T Hadi 1.95 T,ndio maana unaona Serikali imemimina miradi Kila Kona.
View attachment 2522105View attachment 2522106
 
Kama kuna mahali tulimkosea Mungu kama taifa turudi kwa toba, kupewa huyu bibi kama kiongozi wa raia 60m+ ni adhabu kali sana kutoka kwa mwenye enzi
 
Sio swala la kujipendekeza,hivi mna matatizo gani nyie? Mtu Kwa utashi wake anafurahia na kuonesha mambo mazuri yaliyofanywa eti anajipendekeza.

Huu ujinga mtaacha lini nyie wapumbavu?

Basi furahi hakuna alichokifanya
sawa,uko sawa.
lakini kama hii ndio akili,tuna safari ndefu,hivi umewahi kuona nchi zenye watu wenye uelewa akasifiwa rais mmoja tu badala ya system nzima?,

endeleza mapambio.
 
WaTanzania wengi wako hivi sasa.

Ukitune radio na kufungua luninga kutwa nzima kamari, mpira, mziki, udaku, namshukuru huy awamu hii, namshukuru huyu kwani amekua Mungu huyo na upuuzi tu wa namna hiyo.

Sasa unategemea watu katika jamii kama hiyo watakua na akili kweli?

Huyu nae anategemea kwa kazi hii siku aje apate nafasi ya kuteuliwa.
Hapo mnafikiri kutakua na maendeleo?, yatoke wapi.
 
Mama akiacha kuwakumbatia wale jamaa team ..... !!!??Wenye taswira ya upigaji na ufisadi..

Anenda kuwa Rais bora wa muda wotee..
 
Mama akiacha kuwakumbatia wale jamaa team ..... !!!??Wenye taswira ya upigaji na ufisadi..

Anenda kuwa Rais bora wa muda wotee..
Atakuwa Rais Bora na hao wapo, kwani Kuna upigaji upi Hadi Sasa wamefanya? Upuuzi tuu
 
Attachments

  • Screenshot_20230217-203200.jpg
    Screenshot_20230217-203200.jpg
    77.6 KB · Views: 3
Ndugu wana Jukwaa, nimeleta huu uzi kwa watu wenye Imani na Utawala wa awamu ya Sita, kuorodhesha Mambo ambayo Rais Samia akiwa madarakani yamefanikiwa kufanyika kwa ufanisi.

Mimi Binafsi namuona Rais Samia kama Kiongozi alieweka alama zisizofutika kwenye Sekta ya Elimu.

1. Amejenga Vyumba vingi vya madarasa kwenye shule zote za Sekondari nchi nzima. Yaani leo ukienda jijiji chochote chenye Shule ya Sekondari utakuta madarasa ya kisasa ambayo yamejengwa na Serikali ya awamu ya sita.

2. Ujenzi wa Reli, kutoka Dodoma hadi Tabora na kutoka Tabira hadi Isaka. Rais Samia alikuta kipande cha Dar Morogoro na Kile cha Morogoro Makutupora ndio vipande vilikuwa na Wakandarasi. Lakini Rais Samia Amejenga Kutoka Makutupora hadi Tabora,na Kutoka Tabora hadi Isaka.

3. Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere, ujenzi wa Bwawa ulianza enzi za JPM hata hivyo Bwawa likijengwa kwa kusuasua sana, Hadi JPM anaondoka Duniani, Bwawa lilikuwa limejengwa kwa 26% lakini kwa miaka miwili ya Rais Sami, Bwawa limefikia asilimia 86,hapo utaona Rais Samia anafanya mambo makubwa licha ya kuwa hatusikii mapambio mengi kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.

Naomba Mengine mazuri ya Rais Samia unayoyajua yajaze hapo namba 4 na kuendelea ili kila mtu ajue Rais Samia kafanya nini.

4.......
5.....
6......
7......
8.......
9........
10.......
 
Karejesha Mahusiano ya kimataifa yaliyokuwa yamedhoofika mno wakati wa Mwenda zake
 
Back
Top Bottom