Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
huyo mtu anajipendekeza,utakuta anataka kuwania nafasi huko mbeleni.Hivi kweli mzazi mwenye dhamana juu ya familia yake anaweza kuorodhesha yale apaswayo kuyatenda kama mafanikio ndani ya muda fulani!?
*Nimenunua chakula
*Nimenunua chupi za mtumba, moja kwa ajili yangu, mbili za mke wangu na nyingine sita kwa ajili ya watoto wangu
- Nimenunua bra moja kwa ajili ya mke wangu
- Na kadhalika
Taasisi ya urais imepewa majukumu yake kikatiba, kwa hiyo ni haki na wajibu wake kufanya yale ipaswayo kuyafanya. Kutoa sifa tena zikiwa "attributed" kwa mtu mmoja si sawa hata kidogo. Hata kama sifa zinapaswa kutolewa, zinapaswa kuwa ni za serikali wala siyo kwa mtu mmoja
Rais Samia amekichafua Kwa mapesa na mamiradi Kila sehemu asikwambie mtu..Kabla hatujafika tarehe 01/03/2023 tunaomba tukumbushane juu ya hii siku muhimu ya kuadhimisha miaka miwili ya Rais DK. Samia.
01/03/2023 tunaadhimisha miaka miwili ya Mh Rais na kwa kutaja mafanikio ya ndani ya miaka miwili na matarajio ya baadaye. Tutazindua madaraja mawili MTO MORI NA MTO WAMAYA, na Barabara ya Nyamaguku Kirogo ( KIWANGO CHA CHANGARAWE) KAMA MOJA YA MAFANIKIO NDANI YA MIAKA MIWILI YA SAMIA.
View attachment 2521611
Sio swala la kujipendekeza,hivi mna matatizo gani nyie? Mtu Kwa utashi wake anafurahia na kuonesha mambo mazuri yaliyofanywa eti anajipendekeza.huyo mtu anajipendekeza,utakuta anataka kuwania nafasi huko mbeleni.
natamani sanasana tumpe shime rais aendelee kulinda na kusimamia amani iliyopo kwa kadri katiba inavyoruhusu.
hizi sifa tuachane nazo.
Wewe unaonaje? Kwako ukitaka aorodheshe nini kama mafanikio?Hivi kweli mzazi mwenye dhamana juu ya familia yake anaweza kuorodhesha yale apaswayo kuyatenda kama mafanikio ndani ya muda fulani!?
*Nimenunua chakula
*Nimenunua chupi za mtumba, moja kwa ajili yangu, mbili za mke wangu na nyingine sita kwa ajili ya watoto wangu
- Nimenunua bra moja kwa ajili ya mke wangu
- Na kadhalika
Taasisi ya urais imepewa majukumu yake kikatiba, kwa hiyo ni haki na wajibu wake kufanya yale ipaswayo kuyafanya. Kutoa sifa tena zikiwa "attributed" kwa mtu mmoja si sawa hata kidogo. Hata kama sifa zinapaswa kutolewa, zinapaswa kuwa ni za serikali wala siyo kwa mtu mmoja
sawa,uko sawa.Sio swala la kujipendekeza,hivi mna matatizo gani nyie? Mtu Kwa utashi wake anafurahia na kuonesha mambo mazuri yaliyofanywa eti anajipendekeza.
Huu ujinga mtaacha lini nyie wapumbavu?
Basi furahi hakuna alichokifanya
Nichuki tu mkuu achana nao.Sio swala la kujipendekeza,hivi mna matatizo gani nyie? Mtu Kwa utashi wake anafurahia na kuonesha mambo mazuri yaliyofanywa eti anajipendekeza.
Huu ujinga mtaacha lini nyie wapumbavu?
Basi furahi hakuna alichokifanya
Huyo Mungu mnaemtania kwenye upumbavu wenu ni Jamaa yenu au?Kama kuna mahali tulimkosea Mungu kama taifa turudi kwa toba, kupewa huyu bibi kama kiongozi wa raia 60m+ ni adhabu kali sana kutoka kwa mwenye enzi
Atakuwa Rais Bora na hao wapo, kwani Kuna upigaji upi Hadi Sasa wamefanya? Upuuzi tuuMama akiacha kuwakumbatia wale jamaa team ..... !!!??Wenye taswira ya upigaji na ufisadi..
Anenda kuwa Rais bora wa muda wotee..
Rais anasifiwa kama kielelezo maana ndio kocha.sawa,uko sawa.
lakini kama hii ndio akili,tuna safari ndefu,hivi umewahi kuona nchi zenye watu wenye uelewa akasifiwa rais mmoja tu badala ya system nzima?,
endeleza mapambio.
Msivyopenda ambiwa ukweli sasa...!!!🤣🤣Atakuwa Rais Bora na hao wapo, kwani Kuna upigaji upi Hadi Sasa wamefanya? Upuuzi tuu