Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Sipaswi kusema sana, mnajua changamoto ya mziki, mara umetongozwa na huyu mara yule labda mi takwepa hiyo mitihan sababu mi sio sharobaro, ni mgumu, changamoto zangu labda kujiweka kisanii si unajua mara hivi mara vile yote hiyo ni kusukma biashara mziki ni biashara wakuu.
nikaona isiwe kesi nipate Binti ili niingie kwenye industry na ndoa kabisa nipate utulivu wakuu, ndugu zangu washkaji zangu ni nyie wakuu, sijajichanganya sana mtaani sababu ya life style nilio kulia boarding school, ziliniganya nisiwe mtu wa kutembea hovyo na badala yake nibaki ndani tu likizo,member leo dada nilimuomba Binti yake ila baadae kanibadilikia kadai hajavutiwa na mimi, sijui nilimkosea wapi. Asanteni