Mziki Biashar, nina nyimbo 72+. Na Beat zaidi ya 100Sipaswi kusema sana, mnajua changamoto ya mziki, mara umetongozwa na huyu mara yule labda mi takwepa hiyo mitihan sababu mi sio sharobaro, ni mgumu, changamoto zangu labda kujiweka kisanii si unajua mara hivi mara vile yote hiyo ni kusukma biashara mziki ni biashara wakuu.
nikaona isiwe kesi nipate Binti ili niingie kwenye industry na ndoa kabisa nipate utulivu wakuu, ndugu zangu washkaji zangu ni nyie wakuu, sijajichanganya sana mtaani sababu ya life style nilio kulia boarding school, ziliniganya nisiwe mtu wa kutembea hovyo na badala yake nibaki ndani tu likizo,member leo dada nilimuomba Binti yake ila baadae kanibadilikia kadai hajavutiwa na mimi, sijui nilimkosea wapi. Asanteni
Dini ilitabiri kifo kabla hakijatokea lini, na unahakikishaje unachokiamini ni kweli, si hadithi tu umeiamini?Kueleza au kusema jambo linalo tarajiwa tokea kabla halijatokea
Kodi ya meza utakuwa unamuachia ngapi?Ndio mkuu upambanaji si kigezoo anatakiwa akae kihaiba ya mwanamke mkuu si yeyote tu
Mkuu mi sio muhuni wa tabia, umesema kaajiriwa sio shida japo napenda mke ambae Yuko huru sana abanwi na ratiba mala semina mwezi hayupo nyumbani sio pendekezo langu japo no way out, kuhusu kumuumiza au kumsumbua ni wasiwasi wako tu mi najinheshimu sana Sina mambo mengi sikumbuki mara ya mwisho kwenda club USIKU ni lini, tofauti na KAZI ya mziki kufanya shows sidhani kama takua la na mambo mengine tenaHahaha, mfano kama nina binti yangu nataka aanze maisha sasa, aamie kwake, let's say ni bikira maana hakuna mzazi atakayemuwazia binti yake hali tofauti bila kuona viashiria vya hayo matendo, amesoma ana elimu na ana ajira mwaka wa kwanza huu yupo kazini mshahara si haba, 22yrs, utataka awe traditional woman? Upikiwe, ufuliwe, usamehewe ukizini, What are your expectations kwa aina hiyo ya mwanamke? Carrier yake itaendelea au itabidi ife ili atimize majukumu ya kuwa mkeo kwa usahihi?
Akikosea ? Kupishana kwenye maisha ni kawaida mkuu,Mziki Biashar, nina nyimbo 72+. Na Beat zaidi ya 100
Unalipia shingapi ili kila wiki uachie album .
Dada angu nakupa… lakn utaweza masharti. Hurusiwi hata kumfokea.
Kipindi nazaliwa sikujua kama Kuna kufa dini ikanambiaDini ilitabiri kifo kabla hakijatokea lini, na unahakikishaje unachokiamini ni kweli, si hadithi tu umeiamini?
Duh mkuu Yani hata hatuja onana usha anza kuandaa mazongira ya mzingaKodi ya meza utakuwa unamuachia ngapi?
Mimi sina wasiwasi, sio mimi namuoa, wewe ndo unatakiwa ujue kwanini uhitaji mwanamke aina yake. Ndoa ni milele, kwa jibu lako hili nimeshaelewa mkuu.Mkuu mi sio muhuni wa tabia, umesema kaajiriwa sio shida japo napenda mke ambae Yuko huru sana abanwi na ratiba mala semina mwezi hayupo nyumbani sio pendekezo langu japo no way out, kuhusu kumuumiza au kumsumbua ni wasiwasi wako tu mi najinheshimu sana Sina mambo mengi sikumbuki mara ya mwisho kwenda club USIKU ni lini, tofauti na KAZI ya mziki kufanya shows sidhani kama takua la na mambo mengine tena
Nataka niwe dalali, nikiingia pale feri nakuletea ata watatuDuh mkuu Yani hata hatuja onana usha anza kuandaa mazongira ya mzinga
Kwa hiyo kabla ya wewe kuzaliwa kulikuwa hakuna kifo.Kipindi nazaliwa sikujua kama Kuna kufa dini ikanambia
Sasa nakusikiliza mkuuMimi sina wasiwasi, sio mimi namuoa, wewe ndo unatakiwa ujue kwanini uhitaji mwanamke aina yake. Ndoa ni milele, kwa jibu lako hili nimeshaelewa mkuu.
All the bestAkikosea ? Kupishana kwenye maisha ni kawaida mkuu,
Nisha andaa nyimbo zangu nasubiri kuzitoza tu, bado sijawa na kipato cha kununua KAZI za wengine labda baadae mkuu
Mkuu hao sasa sitowaweza nataka walio lelewa na familia zao si wakuokota mkuu🤣Nataka niwe dalali, nikiingia pale feri nakuletea ata watatu
Hapana najisemea mimi sababu ya kuamini mkuuKwa hiyo kabla ya wewe kuzaliwa kulikuwa hakuna kifo.
Dini ikatabiri kifo kitakuja.
Ukazaliwa wewe.
Watu wakaanza kufa.
Ukajua dini ni ya kweli, kwa sababu imetabiri kifo kitatokea, kabla hakijatokea, halafu ukazaliwa wewe, kifo kikaanza kutokea, baada ya wewe kuzaliwa.
Ndicho unachomaanisha hapa?
Hao ningetaka kuoa ninge oa hata wasanii wenzangu ila wamenishinda tabiaOa video vixen mmoja katika miziki yako