Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
- #21
Kaka ndio uhalisia wangu ulivo mi ni msanii unataka nivae kanzu kesho mke akiniona na Rasta ashangae?Mkuu mke utapata ila uombaji wako umekaa kihuni sana
Kaka ndio uhalisia wangu ulivo mi ni msanii unataka nivae kanzu kesho mke akiniona na Rasta ashangae?Mkuu mke utapata ila uombaji wako umekaa kihuni sana
Haipendezi mkuu tusifanyiane hivo, je kama ni mbibi?Ww njoo nyumbani kibaigwa uje kumchukua haina haja ya picha babu kashamchoka we njoo tu
Kweli mkuu,,,hata bikra anaweza kukuacha ila kikubwa oa bikra.
Mkuu hao ni metongoza sana na wamenikubalia ila tumeshindwanahata bikra anaweza kukuacha ila kikubwa oa bikra.
Kwa hiyo una maanisha hujawahi kungonoka mkuu?Huyo si muwezi si unajua hata show yenyewe bado sijapata,
Una matatizo mkuu!Mkuu hao ni metongoza sana na wamenikubalia ila tumeshindwana
Hapana mkuu mana yangu ni kua huyo realmomy anahitaji watu wenye pesa mi mwenyewe ndio kwanza naanza mziki huyo Sito muweza sababu ya gharama za maisha yake kua juuKwa hiyo una maanisha hujawahi kungonoka mkuu?
Picha ya nini tena il hali wewe unataka mradi awe anapumua?Safi mkuu tuma picha pm, na status kidogo si unajua dunia yenyewe hii, kuhusu kumtesa ni ngumu anatakiwa ajue KAZI YANGU ni mziki hivo ajipange kisaikolojia, kuhusu kumtesa mi sio mtu wa kunyanyasa watu naamimi kwenye utu, sinywi pombe, sivuti sigara, sio mtu wa mademu, sipendi maisha high class
Hapana mkuu hao siwaelewi wanadai ni mabikra ilihali wana wadau kibao hapo hata wewe utakubali?Una matatizo mkuu!
Mkuu maisha hayaendi hivo nadhani itakuwa mnani komoa wakuu, ukabebe mtu tu, je kama ni jini?Picha ya nini tena il hali wewe unataka mradi awe anapumua?
Ndio mkuu huna dada hapo home kaka au mdogo wako au yeyotedomo zege
Vigezo not videoKwa video vyako, hao wanaokutongoza ruka naye mmoja
Uje uku nikuozeshe mpwa wangu buuuule.. na wapo kama watatu ivi yani pasuakichwa hao vbaya..Sipaswi kusema sana, mnajua changamoto ya mziki, mara umetongozwa na huyu mara yule labda mi takwepa hiyo mitihan sababu mi sio sharobaro, ni mgumu, changamoto zangu labda kujiweka kisanii si unajua mara hivi mara vile yote hiyo ni kusukma biashara mziki ni biashara wakuu.
nikaona isiwe kesi nipate Binti ili niingie kwenye industry na ndoa kabisa nipate utulivu wakuu, ndugu zangu washkaji zangu ni nyie wakuu, sijajichanganya sana mtaani sababu ya life style nilio kulia boarding school, ziliniganya nisiwe mtu wa kutembea hovyo na badala yake nibaki ndani tu likizo,member leo dada nilimuomba Binti yake ila baadae kanibadilikia kadai hajavutiwa na mimi, sijui nilimkosea wapi. Asanteni
Watani haribia maisha yanguVigezo not video
unapotumia neno yeyote unachaganya watu utapewa kikogwe.Ndio mkuu huna dada hapo home kaka au mdogo wako au yeyote
[/B]
Mkuu polisi tena sasa huoni kama unataka kunibebesha mzigo kaka? Huyo si atanipiga hata?Uje uku nikuozeshe mpwa wangu buuuule.. na wapo kama watatu ivi yani pasuakichwa hao vbaya..
Uje uchague umtakae ili unipunguzie mzigo wa matatizo..
Apa nilipo m1 ndo ametolewa kituo cha police alipokuwa anashiliwa toka juzi..
Utakuwa umenisaidia sana na kama kuna mwingine anaitaji uje nae yani nawatoa buuule 6ki hata shilingi..
Mkuu sasa huko si kukomoanaunapotumia neno yeyote unachaganya watu utapewa kikogwe.
mkuu wanyakyusa wanakufungia ndani? Unaonekana jukwaani kwa machale.Kweli mkuu,,,