kisanzala
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 519
- 372
Kukupiga hawezi ila uvumilie mitoko ya vgodoro,usiku wa mswahili yani tabu tupu ila c utambadili tabia??Mkuu polisi tena sasa huoni kama unataka kunibebesha mzigo kaka? Huyo si atanipiga hata?
Kukupiga hawezi ila uvumilie mitoko ya vgodoro,usiku wa mswahili yani tabu tupu ila c utambadili tabia??Mkuu polisi tena sasa huoni kama unataka kunibebesha mzigo kaka? Huyo si atanipiga hata?
Dini yangu imeni fundisha binadamu hawezi mbadili binadamu mwenzakeKukupiga hawezi ila uvumilie mitoko ya vgodoro,usiku wa mswahili yani tabu tupu ila c utambadili tabia??
ashidwe yeye tu na amekidhi kigezo maana anapumua.Kukupiga hawezi ila uvumilie mitoko ya vgodoro,usiku wa mswahili yani tabu tupu ila c utambadili tabia??
Hahahhhhh mambo ni mengi mkuu, ngoja niendelee kuulizia ulizia kama kuna tu bikra twaknyakyusamkuu wanyakyusa wanakufungia ndani? Unaonekana jukwaani kwa machale.
Ndugu yangu mi ni mtu mzima sijawahi anzisha mada humu ya kijinga, tunatofautiana uwasilishaji WA mambo sio mpaka nilie nipost video ndio ujue nimedhamiria mkuu, mi ni msanii nimewasilisha kisanii zaidi ili badae tusije hisi mi muhuni hapana ndio maisha yangu nayo ishi mkuu, am really hua si mtu wakusumbua watu au kutafuta trending no, Kuna member @ leo dada nilimuomba aniozeshe lakin badae akadai hafurahishwi na comment zangu humu hivo haitowezekana pia aliweka kigezo cha utajiri nika mwambia mi Sina utajiri akakataa sa NIFANYEJE mkuu? Ni lazimishe au nicheki maisha mengine, huku nimetongoza lakini naliwa hela tu no love sa NIFANYEJE?Kuna vijana inaonekana kama wana matatizo fulani ya kisaikolojia, wanapost sana sasa hivi.
If you read carefully, you will see that.
Mara nyingine tuna dismiss kama ujinga.
Is this really a cry for help?
Or is it a lack of savoir faire?
Kwanza kabisa, usiseme hujawahi kuanzisha mada ya kijinga, acha watu wengine waseme hivyo.Ndugu yangu mi ni mtu mzima sijawahi anzisha mada humu ya kijinga, tunatofautiana uwasilishaji WA mambo sio mpaka nilie nipost video ndio ujue nimedhamiria mkuu, mi ni msanii nimewasilisha kisanii zaidi ili badae tusije hisi mi muhuni hapana ndio maisha yangu nayo ishi mkuu, am really hua si mtu wakusumbua watu au kutafuta trending no, Kuna member @ leo dada nilimuomba aniozeshe lakin badae akadai hafurahishwi na comment zangu humu hivo haitowezekana pia aliweka kigezo cha utajiri nika mwambia mi Sina utajiri akakataa sa NIFANYEJE mkuu? Ni lazimishe au nicheki maisha mengine, huku nimetongoza lakini nalipwa hela tu no love sa NIFANYEJE?
Umri ni namba mkuuHaipendezi mkuu tusifanyiane hivo, je kama ni mbibi?
Kuna mjane pale KizimkaziSipaswi kusema sana, mnajua changamoto ya mziki, mara umetongozwa na huyu mara yule labda mi takwepa hiyo mitihan sababu mi sio sharobaro, ni mgumu, changamoto zangu labda kujiweka kisanii si unajua mara hivi mara vile yote hiyo ni kusukma biashara mziki ni biashara wakuu.
nikaona isiwe kesi nipate Binti ili niingie kwenye industry na ndoa kabisa nipate utulivu wakuu, ndugu zangu washkaji zangu ni nyie wakuu, sijajichanganya sana mtaani sababu ya life style nilio kulia boarding school, ziliniganya nisiwe mtu wa kutembea hovyo na badala yake nibaki ndani tu likizo,member leo dada nilimuomba Binti yake ila baadae kanibadilikia kadai hajavutiwa na mimi, sijui nilimkosea wapi. Asanteni
Brother kiranga hata mimi nikiona mtu anasema haamini dini naona kama mjinga sababu yanayo semwa na dini yanaonekana mfano utabiri wa kifoKwanza kabisa, usiseme hujawahi kuanzisha mada ya kijinga, acha watu wengine waseme hivyo.
Wewe muwamba ngoma unavutia kwako, of course utasema hujawahi kuanzisha mada ya kijinga.
Kuna kitu kinaitwa blindspot, kwa kawaida mtu haoni blindspots zake, kwa hiyo kwake yeye mwenyewe ataona hajawahi kuanzisha mada za kijinga, hususan kama ni mtu ambaye hana self reflection.
Wakati kuna mwingine anaona huyu naye, kila mada anayoanzisha ni ya kijinga. Hata hii ya mwanamme mzima anataka kuozeshwa, katika zama hizi, ni ya kijinga.
Mtu anaweza kuona "This guy is infantilizing himself, huu ni ujinga".
Kwa hiyo mimi nikimsikia mtu anasema hajawahi kuanzisha mada za kijinga, najiuliza, huyu anajua blindspots zake? Yuko self aware kwa kiasi cha kujua asichojua? Ana matatizo ya ego na narcissism na delusions of grandeur kiasi gani mpaka aweze kusema hajawahi kuanzisha mada za kijinga?
Kwa sababu wewe unaweza kuona hujawahi kuanzisha mada ya kijinga, wakati wengine wanaona hii mada uliyoanzisha hapa tu ni ya kijinga.
Mkuu sasa Nina wazazi si watanishangaa kakaUmri ni namba mkuu
Ndio mkuu upambanaji si kigezoo anatakiwa akae kihaiba ya mwanamke mkuu si yeyote tuKuna mpambanaji mmoja hapa mtaani, anakaanga vichwa vya kuku, nadhani atakufaa katika safari yako ya familia.
Ni connect mkuu Haina shidaKuna mjane pale Kizimkazi
Twende polepole.Brother kiranga hata mimi nikiona mtu anasema haamini dini naona kama mjinga sababu yanayo semwa na dini yanaonekana mfano utabiri wa kifo
Kueleza au kusema jambo linalo tarajiwa tokea kabla halijatokeaTwende polepole.
Kwanza kabisa, utabiri ni nini?
wanyakyusa huwawezi.Hahahhhhh mambo ni mengi mkuu, ngoja niendelee kuulizia ulizia kama kuna tu bikra twaknyakyusa