kuelekea maisha mapya ya mziki, napiga goti kwenu mniozeshe tafadhali, asanteni

kuelekea maisha mapya ya mziki, napiga goti kwenu mniozeshe tafadhali, asanteni

Hapana najisemea mimi sababu ya kuamini mkuu
Kujisemea wewe, kwenye suala la dini kutabiri kifo, ni ujinga.

Umeonesha huna uwezo wa kufikiria nje ya uwepo wako. Huwezi kufikiri kidhahania. Abstract thinking.

Ndiyo maana umeona dini kuongelea kifo ni utabiri, kwa sababu ilikueleza wewe kuhusu kifo.

Wakati kifo kilikuwapo maelfu ya miaka kabla wewe hujazaliwa.

Na hujaonesha dini imetabiri kifo mwaka gani.

Kwa hiyo hoja nzina ya "dini imetabiri kifo" ni ujinga wako tu.

Ni sawa na ukiwa mdogo, baba yako kukufundisha kuwa jua huwa linaonekana kuchomoza kila siku asubuhi, kwa sababu yeye alishaona hivyo miaka mingi kabla wewe hujazaliwa, halafu wewe ukasema baba yako ametabiri jua litachomoza kila siku, na linachomoza.
 
Kujisemea wewe, kwenye suala la dini kutabiri kifo, ni ujinga.

Umeonesha huna uwezo wa kufikiria nje ya uwepo wako. Huwezi kufikiri kidhahania. Abstract thinking.

Ndiyo maana uneona dini kuongelea kifo ni utabiri, kwa sababu ilikueleza wewe kuhusu kifo.

Wakati kifo kilikuwapo maelfu ya miaka kabla wewe hujazakiwa.

Na hujaonesha dini imetabiri kifo mwaka gani.

Kwa hiyo hoja nzina ya "dini imetabiri kifo" ni ujinga wako tu.

Ni sawa na ukiwa mdogo, baba yako kukugmfundisha kuwa jua huwa linaonekana kuchomoza kila siku asubihi, kwa sababu yeye alishaona hivyo miaka mingi kabla wewe hujazaliwa, halafu wewe ukasema baba yako ametabiri jua litachomoza kila siku, na linachomoza.
Sawa mkuu ila mi bado na amini kwenye Imani yangu ya uislamu
 
You need clinical evaluation and support immediately.
 
Sawa mkuu kwani we ni free mason mana unapo acha amini mungu unafikirisha
Mkuu,

Unaweza kuchukua mafunzo mengi kutoka kwangu.

Moja ya mafunzo hayo ni kwamba, watu wengi wanaamini Freemasons hawaamini Mungu.

Hili jambo si kweli.

Kiukweli kabisa, moja ya masharti ya msingi kabisa ili uwe Freemason, ni kuamini Mungu. Hawajali sana dini unauyoamini, ila, bila ya kuamini Mungu Freemasons hawakuruhusu ujiunge nao.

Kwa hiyo, mtu asiyeamini Mungu kabisa, kama mimi, hawezi kuwa Freemason.

Kati yangu mimi nisiyeamini Mungu, na wewe unayeamini Mungu, wewe upo karibu na ma Freemason kuliko mimi.

Tukienda kwa Freemasons kuomba kujiunga nao, wewe watakukubalia mapema, mimi watanikataa, kwa sababu siamini Mungu.

Kama ulikuwa hujui, jifunze somo hilo.
 
Back
Top Bottom