Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Tafanyaje baba angu, wasichana wa mtaani wananichina tu pesa hadi Kuna muda natembeza naongea peke yanguMkuu unataka uoe mtu ilimradi yupo yupo tu hana go ahead?
Hapana mkuu umenifananishaWewe si ndio ulianzisha uzi jinsi ulivyokuwa unapiga mademu zako mpaka nusu uwaue 🤔
Kaka nijisalimishe nisije dondokea mikononi mwa gigy money😅😅😅 ila jay z bhana mziki na ndoa au sio
Kaka hao mabikra wameni shinda tabia, naruka na yoyote awe ana pumua tutafuta
Bikra!
Kaka huna Binti hapo maskani😅😅😅 ila jay z bhana mziki na ndoa au sio
Yoyote mkuu kama unae hapo maskani Fanya jambo mkuuMkuu unataka uoe mtu ilimradi yupo yupo tu hana go ahead?
Huna dada hapo nyumbani mkuu au yoyoteMelo ana watu wengi sana.Huyu naye ni nani?
mjomba kama ukitoboa kweli huyo dogo uliyeozeshwa juu kwa juu unaweza kwenda kumtesa au akakutesaKaka nijisalimishe nisije dondokea mikononi mwa gigy money
Safi mkuu tuma picha pm, na status kidogo si unajua dunia yenyewe hii, kuhusu kumtesa ni ngumu anatakiwa ajue KAZI YANGU ni mziki hivo ajipange kisaikolojia, kuhusu kumtesa mi sio mtu wa kunyanyasa watu naamimi kwenye utu, sinywi pombe, sivuti sigara, sio mtu wa mademu, sipendi maisha high classmjomba kama ukitoboa kweli huyo dogo uliyeozeshwa juu kwa juu unaweza kwenda kumtesa au akakutesa
Ila anyway nina shangazi yangu hapa kama upo tayari hata kesho unamuoa
Mkuu mke utapata ila uombaji wako umekaa kihuni sanaYoyote mkuu kama unae hapo maskani Fanya jambo mkuu
Ww njoo nyumbani kibaigwa uje kumchukua haina haja ya picha babu kashamchoka we njoo tuSafi mkuu tuma picha pm, na status kidogo si unajua dunia yenyewe hii, kuhusu kumtesa ni ngumu anatakiwa ajue KAZI YANGU ni mziki hivo ajipange kisaikolojia, kuhusu kumtesa mi sio mtu wa kunyanyasa watu naamimi kwenye utu, sinywi pombe, sivuti sigara, sio mtu wa mademu, sipendi maisha high class
hata bikra anaweza kukuacha ila kikubwa oa bikra.tafuta
Bikra!