kuelekea maisha mapya ya mziki, napiga goti kwenu mniozeshe tafadhali, asanteni

Kwa hiyo una maanisha hujawahi kungonoka mkuu?
Hapana mkuu mana yangu ni kua huyo realmomy anahitaji watu wenye pesa mi mwenyewe ndio kwanza naanza mziki huyo Sito muweza sababu ya gharama za maisha yake kua juu
 
Picha ya nini tena il hali wewe unataka mradi awe anapumua?
 
Kwa video vyako, hao wanaokutongoza ruka naye mmoja
 
Uje uku nikuozeshe mpwa wangu buuuule.. na wapo kama watatu ivi yani pasuakichwa hao vbaya..
Uje uchague umtakae ili unipunguzie mzigo wa matatizo..
Apa nilipo m1 ndo ametolewa kituo cha police alipokuwa anashiliwa toka juzi..
Utakuwa umenisaidia sana na kama kuna mwingine anaitaji uje nae yani nawatoa buuule 6ki hata shilingi..
 
Mkuu polisi tena sasa huoni kama unataka kunibebesha mzigo kaka? Huyo si atanipiga hata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…