kuelekea maisha mapya ya mziki, napiga goti kwenu mniozeshe tafadhali, asanteni

Kuna vijana inaonekana kama wana matatizo fulani ya kisaikolojia, wanapost sana sasa hivi.

If you read carefully, you will see that.

Mara nyingine tuna dismiss kama ujinga.

Is this really a cry for help?

Or is it a lack of savoir faire?
 
Kuna vijana inaonekana kama wana matatizo fulani ya kisaikolojia, wanapost sana sasa hivi.

If you read carefully, you will see that.

Mara nyingine tuna dismiss kama ujinga.

Is this really a cry for help?

Or is it a lack of savoir faire?
Ndugu yangu mi ni mtu mzima sijawahi anzisha mada humu ya kijinga, tunatofautiana uwasilishaji WA mambo sio mpaka nilie nipost video ndio ujue nimedhamiria mkuu, mi ni msanii nimewasilisha kisanii zaidi ili badae tusije hisi mi muhuni hapana ndio maisha yangu nayo ishi mkuu, am really hua si mtu wakusumbua watu au kutafuta trending no, Kuna member @ leo dada nilimuomba aniozeshe lakin badae akadai hafurahishwi na comment zangu humu hivo haitowezekana pia aliweka kigezo cha utajiri nika mwambia mi Sina utajiri akakataa sa NIFANYEJE mkuu? Ni lazimishe au nicheki maisha mengine, huku nimetongoza lakini naliwa hela tu no love sa NIFANYEJE?
 
Kwanza kabisa, usiseme hujawahi kuanzisha mada ya kijinga, acha watu wengine waseme hivyo.

Wewe muwamba ngoma unavutia kwako, of course utasema hujawahi kuanzisha mada ya kijinga.

Kuna kitu kinaitwa blindspot, kwa kawaida mtu haoni blindspots zake, kwa hiyo kwake yeye mwenyewe ataona hajawahi kuanzisha mada za kijinga, hususan kama ni mtu ambaye hana self reflection.

Wakati kuna mwingine anaona huyu naye, kila mada anayoanzisha ni ya kijinga. Hata hii ya mwanamme mzima anataka kuozeshwa, katika zama hizi, ni ya kijinga.

Mtu anaweza kuona "This guy is infantilizing himself, huu ni ujinga".

Kwa hiyo mimi nikimsikia mtu anasema hajawahi kuanzisha mada za kijinga, najiuliza, huyu anajua blindspots zake? Yuko self aware kwa kiasi cha kujua asichojua? Ana matatizo ya ego na narcissism na delusions of grandeur kiasi gani mpaka aweze kusema hajawahi kuanzisha mada za kijinga?

Kwa sababu wewe unaweza kuona hujawahi kuanzisha mada ya kijinga, wakati wengine wanaona hii mada uliyoanzisha hapa tu ni ya kijinga.
 
Kuna mjane pale Kizimkazi
 
Brother kiranga hata mimi nikiona mtu anasema haamini dini naona kama mjinga sababu yanayo semwa na dini yanaonekana mfano utabiri wa kifo
 
Hahaha, mfano kama nina binti yangu nataka aanze maisha sasa, aamie kwake, let's say ni bikira maana hakuna mzazi atakayemuwazia binti yake hali tofauti bila kuona viashiria vya hayo matendo, amesoma ana elimu na ana ajira mwaka wa kwanza huu yupo kazini mshahara si haba, 22yrs, utataka awe traditional woman? Upikiwe, ufuliwe, usamehewe ukizini, What are your expectations kwa aina hiyo ya mwanamke? Carrier yake itaendelea au itabidi ife ili atimize majukumu ya kuwa mkeo kwa usahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…