kuelekea maisha mapya ya mziki, napiga goti kwenu mniozeshe tafadhali, asanteni

Mziki Biashar, nina nyimbo 72+. Na Beat zaidi ya 100

Unalipia shingapi ili kila wiki uachie album .

Dada angu nakupa… lakn utaweza masharti. Hurusiwi hata kumfokea.
 
Mkuu mi sio muhuni wa tabia, umesema kaajiriwa sio shida japo napenda mke ambae Yuko huru sana abanwi na ratiba mala semina mwezi hayupo nyumbani sio pendekezo langu japo no way out, kuhusu kumuumiza au kumsumbua ni wasiwasi wako tu mi najinheshimu sana Sina mambo mengi sikumbuki mara ya mwisho kwenda club USIKU ni lini, tofauti na KAZI ya mziki kufanya shows sidhani kama takua la na mambo mengine tena
 
Reactions: Tsh
Mziki Biashar, nina nyimbo 72+. Na Beat zaidi ya 100

Unalipia shingapi ili kila wiki uachie album .

Dada angu nakupa… lakn utaweza masharti. Hurusiwi hata kumfokea.
Akikosea ? Kupishana kwenye maisha ni kawaida mkuu,

Nisha andaa nyimbo zangu nasubiri kuzitoza tu, bado sijawa na kipato cha kununua KAZI za wengine labda baadae mkuu
 
Mimi sina wasiwasi, sio mimi namuoa, wewe ndo unatakiwa ujue kwanini uhitaji mwanamke aina yake. Ndoa ni milele, kwa jibu lako hili nimeshaelewa mkuu.
 
Kipindi nazaliwa sikujua kama Kuna kufa dini ikanambia
Kwa hiyo kabla ya wewe kuzaliwa kulikuwa hakuna kifo.

Dini ikatabiri kifo kitakuja.

Ukazaliwa wewe.

Watu wakaanza kufa.

Ukajua dini ni ya kweli, kwa sababu imetabiri kifo kitatokea, kabla hakijatokea, halafu ukazaliwa wewe, kifo kikaanza kutokea, baada ya wewe kuzaliwa.

Ndicho unachomaanisha hapa?
 
Hapana najisemea mimi sababu ya kuamini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…