- Thread starter
- #21
Asante kwa kunipa status ya Whatsapp leo ngoja niiweke na wapumbavu wenzako kwenye magroup ya misimamo mikali ya dini waione
1. Status WhatsApp hizo ni marks za wapumbafu peke yake!
2. Waungwana hawaweki hayo ndugu! Kama ungali una akili japo za kuvukia barabara bado, ushauri wa bure: ma status ni laana, wacha!
BTW, to be honest to myself: "hivi, najadili nini yarabi na muweka status za Whatsapp?!"
Mkuu, please "confine yourself" na wandagaji wenzio kule ..! Where you belong!