Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

Mwamuzi wa mchezo anatoka wapi? Mbeleko fc watatia aibu
 
Leo Simba ndio watajua kubebwa na Marefa wa bongo kumewaletea athari kiasi gani. Kipigo Cha Leo lawama nazipeleka moja kwa moja kwa Marefa wao ndio walio ilemaza timu ya Simba.
Haya bhana....
 
Wanatamani mvua inyeshe ili mechi isiwe na utulivu lakini hilo halitakuwepo.
 
CAF CONFEDERATION CUP

Mashabiki wa Simba hawataki kusikia lolote siku ya leo ila tu ni kuona chama lao linashinda pale lupaso stadium aka kwa mkapa

Matokeo ya ushindi si tu yataifanya Simba kuongoza kundi lao Bali kuwafanya mashabiki kutembea kifua mbele .....

Swali

Je kwa kikosi cha Simba leo chenye wachezaji wazito kwenye mpira, wazee unadhani wanakufa kwa goli ngapi pale lupaso?

 
ASEC Mimosa ya kipindi hicho ilikuwa pia na Mwamba Kolo Troule aliyecheza pale Arsenal.
 
Kwa sababu ni usindikizaji tu

Hio michuano ya kimataifa mmebeba makombe mangapi mpaka muda huu?
kushiriki mashindano makubwa na kufikia hatua ambayo wengine nmeshindwa kufikia Ni mafanikio makubwa sana.

Kwamfano mashindano ya Africa super cup yakianza, kitendo Cha kushiriki tu unapata bilioni 2.3

Niulize timu yako Ina vigezo na thamani ya kuweza kucheza super cup?

Mafanikio yanapimwa kwa vigezo vingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…